Wanaume wembamba wana visa... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaume wembamba wana visa...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Shantel, Jul 3, 2011.

 1. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #1
  Jul 3, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Habari wakuu, hivi mmenote wanaume wembamba sana wanapenda sana wanawake wanene?

  Yaaani utakuta kijana mwembambaaa mwanamke wake mnene kupita kiasi, hii inatokana na nini? Kuna uwiano gani kati yao? Yaani kuna kaka mmoja mwembamba kama avatar ya fidel ila anapenda mizigo mikubwa ile mbaya, na sio huyo tu wengi nawaona mitaani mwanaume mwembamba mkewe kachana hatari, hii ndio kusema wembamba wanavutiwa na wanene au?
   
 2. Chris_Mambo

  Chris_Mambo JF-Expert Member

  #2
  Jul 3, 2011
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 597
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nadhani inatokana na kutaka kupat utofauti. Kama kila siku unajiona kwenye kioo ukiwa mwembambaa, sasa kukiwa na mwanamke mnene,you really feel the difference!
   
 3. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #3
  Jul 3, 2011
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,562
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Dah Shantel umenichekesha sana. Yaani kuna rafiki yangu mmoja hana tofauti sana na avatar ya fidel kwa wembamba lakini ukweli totoz anazobeba yeye ni ile chakula ya Eltoro ati.
   
 4. Tyta

  Tyta JF-Expert Member

  #4
  Jul 3, 2011
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 12,846
  Likes Received: 2,870
  Trophy Points: 280
  Mm mwembamba,cpend wanene sn. .MY TAKE:dont generalize stereotype
   
 5. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #5
  Jul 3, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  mkuu ukisoma post huwa sio lazima wawe wote ila wengi wao kwa kweli
   
 6. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #6
  Jul 3, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,970
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  umesoma law of isostacy? Ndo hiyo inaaply hapo wanafanya hivo kupata equillibrium (balance)
   
 7. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #7
  Jul 3, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Yaaani utakuta kamtu kembamba hatar ilakanang'ang'ania mdada mwenye bonge la wowowow, mpaka ukimwangalia na kupata picha kunako shughuli sijui inakuwaje
   
 8. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #8
  Jul 3, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Sijasoma mkuu itabidi nitafute na mie nijue ni kwa nini
   
 9. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #9
  Jul 3, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,382
  Likes Received: 414,707
  Trophy Points: 280
  sababu za kimsingi zipo nyingi...............................ipo imani wembamba hao shaft zao ni kubwa na wanene nao mashine zao ni kubwa kwa hiyo wanarandana..........................lakini kubwa zaidi ni kuwa hisia za kutoshelezana.............................mnene huona akiwa na mwembamba watashibana................na kinyume chake..................................lakini penzi halina mipaka kwa hiyo usishangae kuona mizigo ikibebana.......................ukaanza kujiuliza hivi kuna kitanda kweli cha kuwabeba waheshimiwa hao......................................ubarikiwe Shantel..................
   
 10. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #10
  Jul 3, 2011
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,274
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hao watakuwa wanatafuta 'pakuponea'...sijui nisemeje
   
 11. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #11
  Jul 3, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,206
  Likes Received: 3,771
  Trophy Points: 280
  Hiyo research yako inaukweli?
   
 12. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #12
  Jul 3, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,382
  Likes Received: 414,707
  Trophy Points: 280
  ufafanuzi wahitajika umeniacha kwenye mataa ya Ubungo......................."pakuponea" iko shida kidogo hapo...................
   
 13. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #13
  Jul 3, 2011
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,274
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135

  Ruta sioni thanks wala like
  you've just spoken my mind
   
 14. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #14
  Jul 3, 2011
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,274
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Umeshaielezea mwenyewe vizuri sana hapo juu
  Thats exactly what i meant
   
 15. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #15
  Jul 3, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Hahahahaaaa inawezekana kwa kweli, sababu kama hakuna faida pale yule mdada bonge asingeganda kwa mtu mwembamba namna ile duuuuu
  yaaani kwa kweli hawa naowajua mwanaume ni mwembamba kupitiliza...... na hii mzizigo inabidi ikachongeshe kitanda kwa mchomelea chuma loooo
   
 16. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #16
  Jul 3, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,382
  Likes Received: 414,707
  Trophy Points: 280
  clever rebuttal............................
   
 17. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #17
  Jul 3, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,382
  Likes Received: 414,707
  Trophy Points: 280
  Duh....................................sina la kuongeza hapo..............................
   
 18. Tyta

  Tyta JF-Expert Member

  #18
  Jul 3, 2011
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 12,846
  Likes Received: 2,870
  Trophy Points: 280
  umeonaee...hasa pale anaposema WENGI WAO...badala ya baadhi yao...swali,kama mwanamke alinenepa baadae,unaweza conclude hvyo.?unene si kama kichogo,huja wakati wowote
   
 19. BlackBerry

  BlackBerry JF-Expert Member

  #19
  Jul 3, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 1,844
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wanaume wembamba wengi wanakuwa na mafurushi hatari sana, ndio maana wadda vibonge huwang'ang'nia sana, na wao hawataki wasichana wembamba sababu ya vimifupa vyao "pelvic" wakiwa na wembamba wenzao wataumizana mifupa tu kwa msuguano ndio maana wanajisikia vizuri wakiwa na mizigo mikubwa..mie pia nimeona wengi tu wa aina hiyo na wako na furaha na mapenzi yao
   
 20. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #20
  Jul 3, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,382
  Likes Received: 414,707
  Trophy Points: 280
  nimekupatapata hivi.......................
   
Loading...