nsee a muro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2012
- 241
- 124
uwiiiiiiiiiii!!!!!!!!!! hahaaaaaaaa!!!!!! me ndo maana nikitongozwa na mtanashati nakimbia ka mwehu na kama tumekaa mahali naingia chini ya uvungu wa meza ili mradi anione sifai............
Huh? Tinna kwa hiyo unavutiwa na mwanaume kwa kigizo kuwa lazima awe mchafu mchafu? Au sielewi? Naomba nieleweshe rafiki..
Wifi AshaDii nakusalimia tu. Afu nakupenda pia. Kakako ni mtanashati, mzuri sana afu fundi mashaallah.
Weee uliye tuu ucheke una mbavu????
Hope you are all good!!
Najua wengi mtakuja na matusi na kashfa kibao lakini message sent and delivered.
Men you should train yourself bhana mnaboa sana yaani unakuta mtu mtanashati, ana kila kitu kizuri lkn kitandani hovyo kabisa...,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
SITAKI MATUSI IKIKUBOA IPOTEZEE
Me nimemaanisha wale watanashati,,,,,,,, nilishatendwa na hiyo dizain maana wanajiona wao ni bora,, hisia za wenzao hawajali...
Mwanaume mchafu sa ndo simtaki kabisa awe kawaida tu lakini sio kujifanya mtanashati.
Nsee,
Sentensi yako ya mwisho yawezekana unatania ili u provoke watu (iwe watanashati au si watanashati).
Utanashati na kuweza kumudu faragha ni vitu viwili tofauti. Kwanza akiwa mtanashani, ni dalili tosha ni msafi hata mwili wake akiwa 6/6.
Umechanganya utanashati na uzuri sana. Sielewi mwenzangu unatokea wapi, ila mie nimezungukwa na wanaume watanashati ambao ni dhahiri shughuli wanaiweza vizuri hilo tokana na viashiria vionyeshavyo kuwa kweli wanaiweza (tuache hilo lakini).
Utanashati ni kujipenda na usafi. Ila uzuri sana ndiyo huwa shida kwa wengi wanaume katika mambo yao mengi yanayowazunguka hadi suala la performance kitandani. Na hii ni kwa wale wanaume wazuri mno hadi anaweza faulu kuwa mtoto wa kike kwa make; na huwa balaa zaidi akiwa yeye kajitambua ni mzuri na kuwa so selfish to the extent ya kudhani uzuri huo ndio jibu la kila kitu. Mwanaume anakuwa mzuri na kila saa anataka kujitazama kwenye kioo.. :shocked:
Hata hivyo kuna wanaume ambao si wazuri na siyo performers wazuri tokana tu na sababu zingine tu, ingawa hata mimi nakiri kuwa wanaume wazuri mno kwa kiasi kikubwa ni tatizo.
AshaDii big up maana kuna utanashati na uzuri sasa hapo sijui anazungumzia kipi