Sasa kama wa kwako hana hili tatizo umejuaje
basi itakuwa umeisaliti ndoa yako ukawa umekutana na waaina hii na siyo wanaume tu wanawake ndio usiseme kabisa yaaani wananuka kama nini
ama ulipanda kwenye hais ndio ukaona hiyo harufu
duuuu pole kwa yaliyokusibu bwana
Kwani wanapokwenda kuungama K wanaziacha nyumbani..???Baba paroko hivi wewe haya ya K umeyajuaje haya:shocked::shocked::shocked::shocked:
wewe acha umbeya wako wa kike, vikwapa na midomo sio suala la kiume pekee---hili ni suala la jinsia zote, tena usiombe mwanamke akapulizia marashi 'chini' au kwenye makwapa halafu akatoa mijasho---hiyo harufu yake si mchezo ati!
habarini za leo ndg zangu...
jamani leo ninakuja na mada hii kwa wanaume mnaokuwa na harufu KALI, MBAYA za midomo na vikwapa. Mtapata shida sana kukubalika kwa wadada. Hata kwenye madaladala humu utakuta mtu akitoa pumzi tu ni harufu mbaya...sasa ombea uwe umesimama naye kaegesha kwapa lake, ni aibu!!jamani kaka zetu, JIPENDENI...tatizo ni nini?

Mbona wadada wengi wa kibongo wananuka na wanapenda mabrothermen wanaonuka kama wao? Hii unasemaje?
Mimi ni kijana wa kiume, jambo ulilolisema lina ukweli mwingi sana!
Atakayepinga atakuwa anatetea ujinga!
The truth is,
vijana wengi (wanaonuka mostly ni vijana!) ni wazembe sana kujifanyia usafi! Anavyolala usiku ndivyo anavyoamka asubuhi!
Kitendo hasa cha kuoga asubuhi na kuvaa nguo nadhifu, wanadai eti ni usharo!
Mi binafsi, kuna wakati natembea kulingana na direction ya upepo!
Harufu ya kwapa si mchezo!