Wanaume wanaotoka nje ya ndoa

Najua, nitarushiwa kijembe kuwa nawapendelea wananwake! Any way, na mimi pia ni mwanamke! Nafikiri katika mambo yanamuuma mke, ni mume kutoka nje ya ndoa! Hata hawa watu wafanyweje jamani! Kama hawajaridhika si waache wasioe kwanza?Pamoja na hayo, nifikishe hongera zangu kwa good and committed husbands, ambao ni waaminifu kwa wake zao, keep it up!

Mi sijaoa ila nachukia wake za watu wanao toa tigo kwa serengeti boys.
 
Najua, nitarushiwa kijembe kuwa nawapendelea wananwake! Any way, na mimi pia ni mwanamke! Nafikiri katika mambo yanamuuma mke, ni mume kutoka nje ya ndoa! Hata hawa watu wafanyweje jamani! Kama hawajaridhika si waache wasioe kwanza?Pamoja na hayo, nifikishe hongera zangu kwa good and committed husbands, ambao ni waaminifu kwa wake zao, keep it up!
Let me share some few observations on this topic:-
Sababu zifuatazo zinachangia wanaume kutoka nje
1. Mwanzoni mwanamke anakuwa karibu sana na mmewe akishapata watoto anahamishia mapenzi kwa watoto wake mwanamke anabaki tena kuwa mkiwa.
2. Kuna mambo na huduma na maneno ya upendo mwanamke alikuwa akimfanyia mumewe baada ya muda anayapuuza na hivyo mwanamke kujikuta anashangaa na kumiss huduma na maneno
3. Usafi mwanamke mwanzoni alitumia muda mwingi kujiweka safi na kujipamba baada ya kuishi pamoja mama anapuuzia hali hiyo
4. Pengine wakati ulipochumbiana na kuoana na jamaa ulikuwa na umbo dogo/kubwa sasa kinyume chake unasababisha jamaa akajitafutie huko porini. Mwanamke huwa aanajiachia kwa kula na kujiachia kiasi mabadiliko hayo kusababisha kizaazaa.
5. Maozea ya shughuli nyeti wakati ule muhimu, sasa kama mama akichoka basi unamkera mwanamme na kuchukua hatua za kujirusha
6. Lugha ya kiburi na dharau zinawafanya wanaume wakimbie mahali palipo salama mahali wanakobembelezwa na kuthaminiwa.
7. Majungu na kumsema hovyo hovyo mbele za watoto na watu wengine vinamfanya baba apoteze hamu ya kuwahi hata nyumbani hivyo kukimbilia mafichoni.

Ikumbikwe kwamba wanaume wote ni watoto tu wanaohitaji kulelewa, kubembelezwa, na kusamehewa kila wakati. Tatizo kubwa kwa wamama wa siku hizi mmejikitwa kwenye kitu kinachoitwa haki za binadamu, usawa wa kijinsia na haki sawa kwa wote jambo hili, limesababisha madhara mengi kwenye wanandoa zaidi kuliko ilivyotegemewa. Ikumbukwe kwamba ulimbukeni wa kuiga mambo ya kigeni sasa ndo yanahatarisha zaidi maisha ya ndoa.

Mwisho nimalizie kwa kusema huko wanakopewa hifadhi wenzenu wa kule wamekaa kikazi/kibiashara zaidi hivyo wewe kama usiporudi kwenye misingi utabaki mtu wa kumfulia ngua na kutandika kitanda tu lakini huduma zingine zote jamaa anakuwa ameshazipata CHOBINGO

Akina TAFAKARINI KWA KINA!!!!!!!!!!!!!!!!
 
vp wewe kwani imekutach?
Mi naboreka kuwasingizia waume za watu
Wanatuonea bure my love, hawajui it takes two to tango.
BTW hebu nisaidie kuwauliza...... hao waume za watu wanafanya ngono na mbuzi?
Mi nakasirikaga mimi.....

Haya niamkie.....:A S kiss:
 
kila kona vishawishi kibao...wanaume wanatongozwa sana na uzalendo unawashinda..wanawake wasiolewa kibao..na vijana wengi kwa sasa wanaogopa kuoa...sasa unategemea nini...wanafunzi wa kike ndo usiseme...wanapenda raha na vitu vya thamani..ipo kazi..
 
Kwanini wathink negatively all the time?raha ya mapenzi umpate wa kupendana naye,haijalishi ni mume ama mke wa mtu,ukimwi wapatikana kwa njia kibao ukiput aside ngono,mume wa mtu mtamu xana jaribu uone
mtamu lakini hakuna raha kama unapokuwa na mwanaume ambaye una uhuru naye na hata mkienda sehem una amani. huyo mume wa mtu mkiwa chumbani mlango ukigongwa kdg tu lazma kijasho kiwatoke... yan kila siku we unakuwa mtu wa kutembea na hofu ya kifumaniwa....
na hata kama mke wake hakujui ukimuona lazma c...pi ikubane tuuuuuuuu.
 
Kizuri kula na wenzio

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Wanatuonea bure my love, hawajui it takes two to tango.
BTW hebu nisaidie kuwauliza...... hao waume za watu wanafanya ngono na mbuzi?
Mi nakasirikaga mimi.....

Haya niamkie.....:A S kiss:

kwani wewe una mke?
Namsikitikia kwa kweli ulivyowapanga
 
Najua, nitarushiwa kijembe kuwa nawapendelea wananwake! Any way, na mimi pia ni mwanamke! Nafikiri katika mambo yanamuuma mke, ni mume kutoka nje ya ndoa! Hata hawa watu wafanyweje jamani! Kama hawajaridhika si waache wasioe kwanza?Pamoja na hayo, nifikishe hongera zangu kwa good and committed husbands, ambao ni waaminifu kwa wake zao, keep it up!

what if mwanamke ndo reason ya mme kutafuta viburudisho?
 
Back
Top Bottom