Khaaaaaaaaaaaaaaaaa!!
na wewe unataka kusema nilitakiwa kusema mehujumiwa na mke wa mtu!kwani mi nimekuwa mliberali!Khaaaaaaaaaaaaaaa!! Ushanifanya basha???
Haya salamu zako zilipitia posta au TTCL?
Duh! Ngoja nisepe.........!!vipi wewe hujapewa kabaang na mke wa mtu?
Changamka wewe au pandisha dau halafu huwa unawamic wangap humu?
Nahic kuna wengine unawadanganya humu haiwezekani wewe uwamic wanawake/wamama/vibint vya humu?
Sijawahi kukuckia ukimwambia watu8 umemmic
ahahahhahahhaha mtani njoo!vipi wewe hujapewa kabaang na mke wa mtu?
Changamka wewe au pandisha dau halafu huwa unawamic wangap humu?
Nahic kuna wengine unawadanganya humu haiwezekani wewe uwamic wanawake/wamama/vibint vya humu?
Sijawahi kukuckia ukimwambia watu8 umemmic
vipi wewe hujapewa kabaang na mke wa mtu?
Changamka wewe au pandisha dau halafu huwa unawamic wangap humu?
Nahic kuna wengine unawadanganya humu haiwezekani wewe uwamic wanawake/wamama/vibint vya humu?
Sijawahi kukuckia ukimwambia watu8 umemmic
Na wewe nahisi umenimiss kijanja...haya hebu kamu zis wei unisaidie kutandika kitanda!!
usafiri hauna mafutaNa wewe nahisi umenimiss kijanja...haya hebu kamu zis wei unisaidie kutandika kitanda!!
ahahahhahahahhahahhaahha mtaniiii!
mi nimeshalala wala hata sijaiona hii!
Hii dunia yenu hii....khaaaaaaaaaaaaaaaaaaa....lol!!
Mambo mengi tulifundishwa kufa nayo kifuani ila nyie siku hizi ndiyo mnayaanika sokoni....
Sitashangaa mtu hata akipitwa na pumzi ya mlango mkubwa atakuja kutusimulia....
Mie naona bora kuyanyamazia haya mavitu...
Babu DC!!
best mie nimemuuliza tu
usafiri hauna mafuta
Nashukuru ndani ya Ndoa Miaka 3 sasa sijamsaliti mke wangu....Mungu aniepushe na walaghai
ahahhahahhahahhahaha hiv bhange zinachanganywa na uongo antidote ziku hiz enh!