Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 6,813
- 12,565
Niseme tu Kwamba sijakurupuka kuleta huu Uzi kuhusiana na suala Zima la wanaume kuchepuka nje ya ndoa zao.
Hili suala nimelifanyia research ya kutosha kwa takribani muda wa mwaka mmoja na nikapata ujasiri wa kuja humu kushare nanyi sababu kuu inayowafanya wanaume wawe wachepukaji zaidi ukiwacompare na wenza wao wa kike.
Nimekuwa nikizunguka sehemu nyingi Sana hasa vijiweni( sehemu wanapopendelea kukaa wanaume) na kuwauliza Kama Wana michepuko mingine kando na wake zao.
Wengi waliridhia kwa kusema Wana michepuko na wakatoa sababu kuu iliyowafanya watafute michepuko.
Sababu yenyewe ndio hii
WANAWAKE WAKISHAPATA MTOTO/WATOTO
Hapa siongelei wanawake wote ila asilimia 75 ya wanawake inafall kwenye hii category.
Ndoa inapokuwa changa mapenzi Kati ya ME na KE husika huwaga yamenoga Sana.Yaani hapa wanandoa huwa wanapeana attention ya kutosha kbsa kila mmoja anajitoa kwa mwenzake.
Sasa kimbembe huanza pale mkishaanza kuzaa watoto.
Wanawake wengi hufeli Sana Hapa, wao hushindwa kumantain ile attention aliyokuwa anampa mume wake mwanzo.Anawithdraw hyo attention na kuihamishia kwa mtoto kbsa.
Yeye anachojali tu Ni kuhusu mtoto, anahakikisha mwanae amekula,ameshiba,Ana furaha na mengine mengi.Anakuwa ham- minfmd Tena muwe wake yeye Yuko busy na mtoto tu.
Unakuta mumewe labda ametoka kazini amechokaa anahitaji tu kuoga na kupumzika.Ila mwanamke tangia apate mtoto anayasahau kabsa majukumu yake kwa mumewe.Hapa Sasa mwanaume atalazimika kubebe maji na kujipelekea bafuni mwenyewe,tofauti kbsa na ilivyokuwa mwanzoni kabla hawajapata mtoto.
Ishi kubwa ipo kitandani Sasa, mida ya kulala wanawake wengi humchukua mtoto na kumweka Kati Kati, automatically, Hapa mtoto atakuwa ana- act Kama mpaka Kati ya mume na mke au sio?
Sasa ile close-up proximity Kati yenu inaanza kupotea.
Kwa ufupi kbsa Ni kwamba wanawake wengi hushindwa kumantain ile attention waliyokuwa nayo kwa waume zao kbla ya kupata mtoto/ watoto.Kwa matukio haya yote, mwanaume rijali lazima atatafuta mchepuko ili aweze kupata ile " conjugal Right" pamoja na maximum attention...over!