Wanaume wanaoitwa shem wana tabia mbaya

Wanaume wanaoitwa shem wana tabia mbaya

kosa la kwanza ni kumkaribisha kwako ilihali ushajua anakutaka na ukaenda mbali zaidi umempa kiss na kumkumbatia apo hauwezi kumkwepa tena
 
Hayo si mambo ya kawaida tu kwani ina makombo. .nakwe - !? mbona mnapenda ku-complicate mambo jamani. .
Sasa kama ni "shem" wake kwanini atake kumgegeda mwanamke ambaye alikuwa na rafiki yake?
 
Usimkwepe lianzishe kama unavikubali vigezo vyake,suala la ushemeji tupilia mbali
 
Kwa nini unamnyima?una mtu?kama unaye mtu wako mwambie aje amkute au panga na mlete mwanaume yeyote amkute siku ya miadi yenu.Amkute kifua wazi amejilaza kitandani,tena pande la mtu,then mtambulishe huyu hapa ni shemegi yako na yeye umtambulishe kama kaka yako.Lakini sasa huyu wa pili aliyejilaza kitandani naye awe muelewa maana anaweza kuamua anakipiga pumbu.
 
Sweet heart wengi wanakushauri umpe,...usimpe..[emoji21][emoji21][emoji21][emoji21]
 
Usikubal akubake tena bila kukupa hela ukizubaa jamaa atajilia kilain bila hata mia
 
Halaf tufute hii kitu ushemeji au mnaonaje mashemeji wawe wadogo zake mpenzi au ndugu zake basi huku kwingine kuzibiana riziki tu maana rafiki yake sio ndugu yake so tufute haka ka tabia
 
Nitumie namba yako na yake ili nikuepushie kuliwa na huyo jamaa, mbona rahis tu na hata kusumbua hata kidogo.
 
Huu moyo wa kukaza hiv kwa mwanamke ningepewa ningefaidi kumbe nakosa sana vinono kwa kujikuta na tembea na life langu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom