Wanaume wanaoitwa shem wana tabia mbaya

Wanaume wanaoitwa shem wana tabia mbaya

Baharia hali makombo akijijua, huyo boya, piga chini.
 
Usitudharau mashemeji zako sisi ndio tunajua ukweli kama utaolewa au unapotezewa muda
 
Mbona mpaka hapa unaonekana ushaliwa teyari au ni mimi na haraka ndugu zangu?

*anakataa,anataka kunibaka,nakataa,ananishika kwa nguvu,naona nikizembea kweli anaweza kunibaka,namwambia basi nimekubali kuwa mpenzi wako,ila sharti usije ukamwambia fulani,halafu kesho jioni njoo kwangu,ili kumzubaisha,nampa kiss,halafu namkumbatia namwambia njoo kesho,nitakupa,anavaa nguo zake anaondoka *
 
Kuna ile sura na sauti kutoka kwa mwanamke asiyetaka kitu; wanaume waungwana tunaijua na huwa haikupi nguvu kuendelea.
 
Kuna ile sura na sauti kutoka kwa mwanamke asiyetaka kitu; wanaume waungwana tunaijua na huwa haikupi nguvu kuendelea.
hapa sura hii haipo na haitotolewa.
Huoni anavohadithia kwa madeko!
 
Miaka mitatu iliyopita,Ulikuwa na mahusiano na mwanaume ulipokuwa unakaa katika mji fulani eitha Bukoba

Alikuwa na rafiki yake ambaye alikutambulisha kwake ni best friend wake kwa kila kitu

Kama Shem wangu wa nguvu,heshima unampa ya kutosha,kila akija nyumbani namheshim shem wangu

Baada ya miaka kadhaa mahusiano yanavunjika,basi ushemeji hauwezi ukavunjika unaendelea

Unahama Bukoba,unakuja Mwanza,baada ya miezi kadhaa na shem wako naye anahamia Mwanza kutafuta maisha

Mnakutana kama mashemeji,mnatembeleana mpaka mnapoishi kama jambo la kawaida

Baada ya siku kadhaa,anaanza kukutaka kimapenzi,unamkatalia,anakomaa na kigezo kuwa mahusino yangu na rafiki yake yaliishakatika kwa hiyo kuwa na yeye sio shida,namkatalia bado tu anazidi kukomaa

Siku moja jion,anaomba kuja kwangu namwambia hamna shida karibu,napika tunakula baadae namwambie nataka kulala shem,naomba uondoke anakataa,anataka kunibaka,nakataa,ananishika kwa nguvu,naona nikizembea kweli anaweza kunibaka,namwambia basi nimekubali kuwa mpenzi wako,ila sharti usije ukamwambia fulani,halafu kesho jioni njoo kwangu,ili kumzubaisha,nampa kiss,halafu namkumbatia namwambia njoo kesho,nitakupa,anavaa nguo zake anaondoka

Sasa hapa nawaza namna ya kumkwepa

Nmewah kuwa na mahusiano na doctor mmoja ivi,siku nkakutana na mdogo wake mwanajeshi huko njian akawa ananitaka na nikamkataa ajabu kuna siku mpenzi wangu akanitambulisha kuwa ni mdogo wake wa damu asee jamaa alipoteza tabasamu kabisa.Alafu kuna mdogo wao mwingine nae alikuwa akinisumbua sana kipindi Niko chuo namm sikujua km ni ndugu yake ss siku moja akaja kumsalimia kaka ake si ndo anikute na anatambulishwa km mm ni shemej yake,asee Dogo alinywea balaa sijui alihisi ntamwambia kaka ake[emoji23][emoji23][emoji23].In short mashem sio Watu wakuwazoea sana na nliamini wanaume ni maharage ya mbeya coz am sure I can *** them all[emoji1787][emoji56]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom