Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,450
- 25,168
Hivyo hivyoExactly nini???
Kasome kuanzia ilipoishia alama ya kuuliza mpaka mwisho.... Ile statement nimekazia
Hivyo hivyoExactly nini???
Aaah! Ushaliwa weyeMiaka mitatu iliyopita,Ulikuwa na mahusiano na mwanaume ulipokuwa unakaa katika mji fulani eitha Bukoba
Alikuwa na rafiki yake ambaye alikutambulisha kwake ni best friend wake kwa kila kitu
Kama Shem wangu wa nguvu,heshima unampa ya kutosha,kila akija nyumbani namheshim shem wangu
Baada ya miaka kadhaa mahusiano yanavunjika,basi ushemeji hauwezi ukavunjika unaendelea
Unahama Bukoba,unakuja Mwanza,baada ya miezi kadhaa na shem wako naye anahamia Mwanza kutafuta maisha
Mnakutana kama mashemeji,mnatembeleana mpaka mnapoishi kama jambo la kawaida
Baada ya siku kadhaa,anaanza kukutaka kimapenzi,unamkatalia,anakomaa na kigezo kuwa mahusino yangu na rafiki yake yaliishakatika kwa hiyo kuwa na yeye sio shida,namkatalia bado tu anazidi kukomaa
Siku moja jion,anaomba kuja kwangu namwambia hamna shida karibu,napika tunakula baadae namwambie nataka kulala shem,naomba uondoke anakataa,anataka kunibaka,nakataa,ananishika kwa nguvu,naona nikizembea kweli anaweza kunibaka,namwambia basi nimekubali kuwa mpenzi wako,ila sharti usije ukamwambia fulani,halafu kesho jioni njoo kwangu,ili kumzubaisha,nampa kiss,halafu namkumbatia namwambia njoo kesho,nitakupa,anavaa nguo zake anaondoka
Sasa hapa nawaza namna ya kumkwepa
Miaka mitatu iliyopita,Ulikuwa na mahusiano na mwanaume ulipokuwa unakaa katika mji fulani eitha Bukoba

Nikimtolea lugha chafu sijui nitaonekana mi ndo mbaya
Sure.Ha aha ha hivi kwan ukimpa kuna kitu kitapungua kwako? Trust me Wanaume hatuwez kumfanyia upuuzi Mwanamke kama hatujapewa nafas ya kuongea nae upuuzi.
Duuh mwizi Tena unataka awe na dhima ya kuua kiumbe kisicho na hatia, afadhali tu amtolee maneno machafu tu ,ili ijulikane kua hamtaki kuliko kumwitia mwiziUngeitia mwizi, hapo kumaliza hayo mazoea si kirahs kama unavyodhani maana anaonekana jamaa siyo civilized huyo.
Pole sweet heart...Miaka mitatu iliyopita,Ulikuwa na mahusiano na mwanaume ulipokuwa unakaa katika mji fulani eitha Bukoba