Wanaume wanaoitwa shem wana tabia mbaya

Wanaume wanaoitwa shem wana tabia mbaya

Cutelove, mpo 50 50 mpaka hapo! Huyo jamaa atakugegeda tu kama wadau walivyosema!! Lakini, narudia tena lakini, ukiamua kuweka ngumu yani ngumu kweli hatapata kitu. Ni wewe tu.
 
Sasa kama ni "shem" wake kwanini atake kumgegeda mwanamke ambaye alikuwa na rafiki yake?
Yaani kama tungefuata haya...BASI UKIACHWA HUTATONGIZWA TENA..... maana kabla hujaachwa, wote wanaokuzinguka wanakuwa mashem au Kaka wakubwa, marafiki etc.... waliotokana na mahusiano yenu... Mkitemana HUTATONGOZWA
 
Miaka mitatu iliyopita,Ulikuwa na mahusiano na mwanaume ulipokuwa unakaa katika mji fulani eitha Bukoba

Alikuwa na rafiki yake ambaye alikutambulisha kwake ni best friend wake kwa kila kitu

Kama Shem wangu wa nguvu,heshima unampa ya kutosha,kila akija nyumbani namheshim shem wangu

Baada ya miaka kadhaa mahusiano yanavunjika,basi ushemeji hauwezi ukavunjika unaendelea

Unahama Bukoba,unakuja Mwanza,baada ya miezi kadhaa na shem wako naye anahamia Mwanza kutafuta maisha

Mnakutana kama mashemeji,mnatembeleana mpaka mnapoishi kama jambo la kawaida

Baada ya siku kadhaa,anaanza kukutaka kimapenzi,unamkatalia,anakomaa na kigezo kuwa mahusino yangu na rafiki yake yaliishakatika kwa hiyo kuwa na yeye sio shida,namkatalia bado tu anazidi kukomaa

Siku moja jion,anaomba kuja kwangu namwambia hamna shida karibu,napika tunakula baadae namwambie nataka kulala shem,naomba uondoke anakataa,anataka kunibaka,nakataa,ananishika kwa nguvu,naona nikizembea kweli anaweza kunibaka,namwambia basi nimekubali kuwa mpenzi wako,ila sharti usije ukamwambia fulani,halafu kesho jioni njoo kwangu,ili kumzubaisha,nampa kiss,halafu namkumbatia namwambia njoo kesho,nitakupa,anavaa nguo zake anaondoka

Sasa hapa nawaza namna ya kumkwepa
Kama bado hujui cha kufanya ujue ushatombwa
 
Kwakuwa na wa huko mikoani hamna tabu ndiyo tofauti kati yawanaume wa dar na mikoani dar very smart na mikoani smart adimu![emoji3][emoji3]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom