Wanaume wanaoitwa shem wana tabia mbaya

Wanaume wanaoitwa shem wana tabia mbaya

Shost unamfuga sana huyo Shem wako..embu mpe kavu lake ashike adabu
 
Wee amua kumpa tu maana mbinu uliyoitumia ya kumdanganya kwamba utampa kesho yake ili kujinusuru kubakwa sasa akija hiyo kesho yake anzisheni tu kujivinjari maana ulishindwa kujisimamia
Hadi hapo malizia mwenyewe tu....

Ukiamua kumpa usisahau kutujulisha pia
 
Miaka mitatu iliyopita,Ulikuwa na mahusiano na mwanaume ulipokuwa unakaa katika mji fulani eitha Bukoba
Alikuwa na rafiki yake ambaye alikutambulisha kwake ni best friend wake kwa kila kitu
Kama Shem wangu wa nguvu,heshima unampa ya kutosha,kila akija nyumbani namheshim shem wangu
Baada ya miaka kadhaa mahusiano yanavunjika,basi ushemeji hauwezi ukavunjika unaendelea
Unahama Bukoba,unakuja Mwanza,baada ya miezi kadhaa na shem wako naye anahamia Mwanza kutafuta maisha
Mnakutana kama mashemeji,mnatembeleana mpaka mnapoishi kama jambo la kawaida
Baada ya siku kadhaa,anaanza kukutaka kimapenzi,unamkatalia,anakomaa na kigezo kuwa mahusino yangu na rafiki yake yaliishakatika kwa hiyo kuwa na yeye sio shida,namkatalia bado tu anazidi kukomaa
Siku moja jion,anaomba kuja kwangu namwambia hamna shida karibu,napika tunakula baadae namwambie nataka kulala shem,naomba uondoke anakataa,anataka kunibaka,nakataa,ananishika kwa nguvu,naona nikizembea kweli anaweza kunibaka,namwambia basi nimekubali kuwa mpenzi wako,ila sharti usije ukamwambia fulani,halafu kesho jioni njoo kwangu,ili kumzubaisha,nampa kiss,halafu namkumbatia namwambia njoo kesho,nitakupa,anavaa nguo zake anaondoka
Sasa hapa nawaza namna ya kumkwepa
Mpe tu hakuna namna
Kwani ataondoka nayo
 
Mwenye tabia mbaya ni wewe, ungemkatalia tu. Akiwa ameondoka mwambie kuwa nilitaka uondoke tu, ndiyo maana nilikukubalia usije tena kwangu kenge we! Tena una mkosi wa ndala kuachwa nje hata kama ukinunuliwa kwa gharama pumbavu!

Ukimwambia hivyo anakimbia harudi tena!
Miaka mitatu iliyopita,Ulikuwa na mahusiano na mwanaume ulipokuwa unakaa katika mji fulani eitha Bukoba

Alikuwa na rafiki yake ambaye alikutambulisha kwake ni best friend wake kwa kila kitu

Kama Shem wangu wa nguvu,heshima unampa ya kutosha,kila akija nyumbani namheshim shem wangu

Baada ya miaka kadhaa mahusiano yanavunjika,basi ushemeji hauwezi ukavunjika unaendelea

Unahama Bukoba,unakuja Mwanza,baada ya miezi kadhaa na shem wako naye anahamia Mwanza kutafuta maisha

Mnakutana kama mashemeji,mnatembeleana mpaka mnapoishi kama jambo la kawaida

Baada ya siku kadhaa,anaanza kukutaka kimapenzi,unamkatalia,anakomaa na kigezo kuwa mahusino yangu na rafiki yake yaliishakatika kwa hiyo kuwa na yeye sio shida,namkatalia bado tu anazidi kukomaa

Siku moja jion,anaomba kuja kwangu namwambia hamna shida karibu,napika tunakula baadae namwambie nataka kulala shem,naomba uondoke anakataa,anataka kunibaka,nakataa,ananishika kwa nguvu,naona nikizembea kweli anaweza kunibaka,namwambia basi nimekubali kuwa mpenzi wako,ila sharti usije ukamwambia fulani,halafu kesho jioni njoo kwangu,ili kumzubaisha,nampa kiss,halafu namkumbatia namwambia njoo kesho,nitakupa,anavaa nguo zake anaondoka

Sasa hapa nawaza namna ya kumkwepa
 
Miaka mitatu iliyopita,Ulikuwa na mahusiano na mwanaume ulipokuwa unakaa katika mji fulani eitha Bukoba

Alikuwa na rafiki yake ambaye alikutambulisha kwake ni best friend wake kwa kila kitu

Kama Shem wangu wa nguvu,heshima unampa ya kutosha,kila akija nyumbani namheshim shem wangu

Baada ya miaka kadhaa mahusiano yanavunjika,basi ushemeji hauwezi ukavunjika unaendelea

Unahama Bukoba,unakuja Mwanza,baada ya miezi kadhaa na shem wako naye anahamia Mwanza kutafuta maisha

Mnakutana kama mashemeji,mnatembeleana mpaka mnapoishi kama jambo la kawaida

Baada ya siku kadhaa,anaanza kukutaka kimapenzi,unamkatalia,anakomaa na kigezo kuwa mahusino yangu na rafiki yake yaliishakatika kwa hiyo kuwa na yeye sio shida,namkatalia bado tu anazidi kukomaa

Siku moja jion,anaomba kuja kwangu namwambia hamna shida karibu,napika tunakula baadae namwambie nataka kulala shem,naomba uondoke anakataa,anataka kunibaka,nakataa,ananishika kwa nguvu,naona nikizembea kweli anaweza kunibaka,namwambia basi nimekubali kuwa mpenzi wako,ila sharti usije ukamwambia fulani,halafu kesho jioni njoo kwangu,ili kumzubaisha,nampa kiss,halafu namkumbatia namwambia njoo kesho,nitakupa,anavaa nguo zake anaondoka

Sasa hapa nawaza namna ya kumkwepa
SHEMU kwani bado uko Mwanza au........
 
Wanawake bwana akishaingiziwa tu,anaanz ooh hivi sijui nilichelewa wapi kukupata,una m.b.o.r.o tamu sana
 
Ukimlegezea atakuto..a kweli wewe cheka na fisi mpe kubwa kama huna mpango naye
 
Mwambie kuna jamaa ambae ndio mlipa kodi wako so mwambie amekuja hvyo hasitishe mawasiliano kwanza until further notce
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom