mtanganyika wa kweli
JF-Expert Member
- Apr 12, 2015
- 2,420
- 1,724
Gender Based violence!
Wanawake wananyanyasika sana Afrika!
Hawatambui Haki zao! Mpaka unataka kubakwa hujui ufanyeje?unaentertain sexual assault?
Poor woman of Africa!Amka pinga unyanyasi,utakuwa mtumwa wa ngono mpaka lini unamkiss mtu huk hutaki?
Elimu!Elimu!Elimu!
Wanawake wananyanyasika sana Afrika!
Hawatambui Haki zao! Mpaka unataka kubakwa hujui ufanyeje?unaentertain sexual assault?
Poor woman of Africa!Amka pinga unyanyasi,utakuwa mtumwa wa ngono mpaka lini unamkiss mtu huk hutaki?
Elimu!Elimu!Elimu!
Miaka mitatu iliyopita,Ulikuwa na mahusiano na mwanaume ulipokuwa unakaa katika mji fulani eitha Bukoba
Alikuwa na rafiki yake ambaye alikutambulisha kwake ni best friend wake kwa kila kitu
Kama Shem wangu wa nguvu,heshima unampa ya kutosha,kila akija nyumbani namheshim shem wangu
Baada ya miaka kadhaa mahusiano yanavunjika,basi ushemeji hauwezi ukavunjika unaendelea
Unahama Bukoba,unakuja Mwanza,baada ya miezi kadhaa na shem wako naye anahamia Mwanza kutafuta maisha
Mnakutana kama mashemeji,mnatembeleana mpaka mnapoishi kama jambo la kawaida
Baada ya siku kadhaa,anaanza kukutaka kimapenzi,unamkatalia,anakomaa na kigezo kuwa mahusino yangu na rafiki yake yaliishakatika kwa hiyo kuwa na yeye sio shida,namkatalia bado tu anazidi kukomaa
Siku moja jion,anaomba kuja kwangu namwambia hamna shida karibu,napika tunakula baadae namwambie nataka kulala shem,naomba uondoke anakataa,anataka kunibaka,nakataa,ananishika kwa nguvu,naona nikizembea kweli anaweza kunibaka,namwambia basi nimekubali kuwa mpenzi wako,ila sharti usije ukamwambia fulani,halafu kesho jioni njoo kwangu,ili kumzubaisha,nampa kiss,halafu namkumbatia namwambia njoo kesho,nitakupa,anavaa nguo zake anaondoka
Sasa hapa nawaza namna ya kumkwepa