wanaume wanakufa zaidi au mapema kuliko wanawake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wanaume wanakufa zaidi au mapema kuliko wanawake

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mkonowapaka, Nov 14, 2011.

 1. mkonowapaka

  mkonowapaka JF-Expert Member

  #1
  Nov 14, 2011
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 1,483
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  sijafanya utafiti wowote siriaz..lakini najaribu kuangalia mazingira nitokayo pale kijijini..idadi ya wajane wanaotuzunguka akiwemo mama yangu mzazi..inatisha!!wamebaki kina mama/bibi peke yao kule nyumbani........tumaini lao lipo kwa watoto wao na kama mungu amewajaalia vijukuu mapema basi ikiwapendeza wamuache pale nyumbani akae na bibi/mama...

  hivi wenzangu huko mtokako mmeshaliona hilo?...wanaume wamekuwa wakiripotiwa either kufa mapema zaidi au kufa mapema tu kwa sababu kadha wa kadha..........wanaume mnalizungumziaje hili suala...tumejiandaaje..au tunajiwekea mazingira gani ya kupunguza idadi ya wajane n ayatima hasa ukizingatia wanaume ndio vichwa vya familia...................eeh Mungu tunusuru!!

  ebu tujaribu kuliangali ahili.............
   
 2. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #2
  Nov 14, 2011
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Ni kwa sababu ya madhila ya kuhangaika ili kuhudumia familia...................
   
 3. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #3
  Nov 14, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Inshallah mungu awape umri hao wanaume walobakia manake bila wao mambo hayaendi vizuri sana.
   
 4. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #4
  Nov 14, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  wanaume wahangaikaji wanakutana na magumu mengi ya dunia thats why wanachoma mapema!mtazamo tu!
   
 5. N

  Nsuri JF-Expert Member

  #5
  Nov 14, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 996
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 60
  Watakuwa wanawake wa kichagga hao!!!!
   
 6. N

  Ndinimbya Senior Member

  #6
  Nov 14, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  pamoja na uhangaikaji mkubwa pia wanaonekana kufa mapema kutokana na wanaume mara nyingi kuwa na umri mkubwa kuliko wake zao!
   
 7. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #7
  Nov 14, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  Subiri wenyewe wanakuja, mie nshakoma!
   
 8. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #8
  Nov 14, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,062
  Likes Received: 6,514
  Trophy Points: 280
  ni mipango ya MUNGU mwenyewe.
   
 9. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #9
  Nov 14, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,036
  Likes Received: 3,068
  Trophy Points: 280
  Niliwahi kuongea na mwenzangu mmoja japo alikataa lakini huo ndo ukweli

  Tuchukulie incidences kama kulinda lindo usiku,dereva wa gari akifa,wanaovua samaki,wanaoingia migodini.n.k,katika haya matukio zaidi ya 90% ni waume na inapotokea vifo namba kubwa ya vifo ni wanaume na hapo tayari tunaongeza wajane kama alivyo mama yangu naye ni mjane tayari...Mungu awalinde wanaume
   
 10. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #10
  Nov 14, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Khaaaa!wanawake wakichagga ndio hawafi????!
  Una uhakika na ulisemalo au unahisi??
   
 11. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #11
  Nov 14, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Hakuna aijuaye siri ya kifo isipokuwa mungu mwenyewe,na kila mtu hufa wakati wake unapofikia,kwetu naona wanakufaga wake kwa waume tena wa rika zote kulingana na kila mtu na wakati wake!
   
 12. B

  Baby black Member

  #12
  Nov 14, 2011
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani!hv kweli yeye Mungu ndo aliwapa wachaga roho mbaya?why u always coment on us vbaya hvyo?ANGALIA USIOE WA KWENU AKUFANYIE K2 MBAYA CJUI UTASEMA WAMEKUA WACHAGA!
   
 13. T

  Tata JF-Expert Member

  #13
  Nov 15, 2011
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,730
  Likes Received: 646
  Trophy Points: 280
  Wanaume ni jinsia dhaifu kuliko wanawake linapokuja suala la kuishi muda mrefu. Mfano inasemekana kuwa ni rahisi zaidi kwa mwanaume mnene mwenye kitambi kikubwa kupata magonjwa ya moyo kuliko mwanamke mnene mwenye makalio makubwa. Lakini pia ni uanaume jinsia inayohangaika na kuwa na misongo ya maisha zaidi kuliko jinsia ya kike. Misongo inachangia sana kwenye magonjwa na vifo vya mapema vya wanaume. Wanawake huwa wanaondoa misongo kwa ama kulia au kuwaeleza wenzao yanayowasibu na hivyo kupata ahueni. Wanaume huwa hatuna utamaduni wa kulia au kutembea kwa marafiki tukieleza matatizo ya wake zetu. Ukiona wanaume wanajadiliana ni kuhusu mpira wa miguu (Man U, Chelsea, Arsenal) au mambo mengine kama siasa, ujenzi wa nyumba etc. Ni nadra sana kuwakuta wakijadili matatizo ya wake zao majumbani
   
 14. Gold Addict

  Gold Addict Senior Member

  #14
  Nov 15, 2011
  Joined: Sep 5, 2011
  Messages: 152
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  anamaanisha wanawake wa kichaga wanaua wanaume wao ili warithi mali,mi ni mchaga na hiyo ni moja ya vitu ambavyo vipo ndani ya uwezo wangu
   
 15. m

  mdiho New Member

  #15
  Nov 15, 2011
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wanakufa kwa kuhangaika na kujichosha mno na nyumba ndogo, utadhani wamelogwa!!!!!!!!!!!!!!!. nini cha kushangaza kama kila siku mtu anakimbia mail ziadi ya hamsini bila kufanya mazoezi. Wawe na kiasi watadumu
  :A S embarassed:
   
Loading...