Wanaume wanahangaika sana

Poa mkuu tumekuelewa
 
Utakuwa hujui maana ya mwanaume.

Yani achague mtu wake kwa kukulinganisha na wewe?

Ukumbuke na uiweke akilini kwamba mwanaume huwa haachwi ila anatengeneza mazingira ili umuache wewe aepukane na lawama za kuwa alikupotezea muda.

Najua hata wewe ulimpenda na ndio maana unamuwaza na alilijua hilo, lakini pamoja na hilo ulikosa sifa za kuendelea naye lakini ametafuta njia rahisi ya kukupunguzia maumivu kwa kukupa ushindi feki
 

Wewe ulikuwa mzuri, kaona wazuri ni wadangaji, sio waaminifu, waongo, etc....kaamua kuchukua wa kawaida sasa, kosa lake liko wapi? Mbona kama inakuuma vile? Wewe si ndio ulimuacha? Muwasho wa nini sasa?
 
Ni swala la muda tu, kwa kuwa alishakutafuna basi kuna siku haijulikani atapasha kiporo.
 
Kwa nini umgredi mwanamke mwenzio?

Muheshimu mwanamke mwenzio na ikiwezekana acha kumshambulia muonee huruma
 
ameona wanawake wazur kama ww hamna jipya ameona abadirishe fleva ww ndo unateseka pole [emoji31][emoji31][emoji31][emoji31][emoji31][emoji31][emoji31][emoji31][emoji31][emoji30]
 
bro uko vizuri.. umetambaa mulemule.
 
Ebu nitupie ka picha chako PM au nipe user name yako fb nikuthaminishe Kama we ni cute as u say so
 
Wewe mimi siumii cuz mimi ndio nimemuacha halafu baada ya kumuacha kani block kote kote. Sasa hapa anaeumia nani kama sio yeye. Girl wake mpya sijamchunguza nimetumiwa picha na mtu tu
Ishi afu mbona ubajichanganya maelezo yako dada mala katutumia picha ya Dem wake , mal ameku block which is which!
 
kwa age yangu hakuna kupotezeana muda na weza sema ni experience halafu we were madly in love sasa unaanzaje kusema kupoteza muda hata kama mapenzi yameisha siwezi kusema ni kupoteza muda hata kama tumeachana kuna vitu nme learn kwa hii relationship
Na ku quote Kuna sehemu amejibu kajamaa chenyewe kua akana mbele Wala nyuma kua mchizi ajielewi"

Now unakuja kusemaje hapo juu[emoji1]

We demu AMUNAZO kabisa ivi una miaka mingapi?
 
Ni Bonge la ujumbe kama ana akili atauchukua na kuufanyia kazi
 
Acha wivu weww fanya mpango umpindue urudi hiyo ndo ile wivu sina ila roho inaniuma
 
Well you only need the light when it's burning low
Only miss the sun when it starts to snow
Only know you love him when you let him go
Only know you've been high when you're feeling low
Only hate the road when you're missing home
Only know you love him when you let him go
And you let him go

Staring at the bottom of your glass
Hoping one day you'll make a dream last
But dreams come slow and they go so fast
You see him when you close your eyes
Maybe one day you'll understand why
Everything you touch surely dies

Staring at the ceiling in the dark
Same old empty feeling in your heart
Love comes slow and it goes so fast
Well you see him when you fall asleep
But never to touch and never to keep
'Cause you loved him too much and you dive too deep

[emoji2210][emoji2210][emoji2210][emoji2210][emoji2210][emoji2210]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…