Wanaume waliotaka kunioa nikakataa hawa hapa

Wanaume waliotaka kunioa nikakataa hawa hapa

Ngoja uje kuwa kama yule mammaaa Wa poda. Ukishazeeka uanze kutoa matamko ya maombi. Ukiangalia nyuma umeshamegwa na wanaume elfu sabini. Huoleki tena.
 
Hata nisipoolewa Poa tu mamy am ok
Kauli ya kujihami (sizitaki mbichi hichi). Usingekuwa na hilo hitaji, usingekuwa mara kwa mara unaweka bandiko humu la kutafuta wa kukuoa. Otherwise, una kaz maalum ambayo unataka ujue contacts za watu kupitia PM kwa kisingizio cha kutafuta mume.
 
Ukimalizia wote naomba unitag Sweetheart..I know maybe am too late but I don't care ,I just preparing myself to be your Last Man !!!.
799dba468ef5068a29e50ddedd1c6946.jpg
i kinda like you my Bumper Butt
Wewe jamaa Ms lincolin kama sijakosea ulikuwa unampiga sound hili hili
Huoni utapeperusha ndege ?
 
Safi sana nimekupena bure nitakuletea zawadi ngoja mwaka mpya ufike
 
Back
Top Bottom