Wanaume waliotaka kunioa nikakataa hawa hapa

Wanaume waliotaka kunioa nikakataa hawa hapa

Wanaume wanakuogopa kwa sababu ya hali yako ya uchumi ipo njema...

Usiulize nimejuaje...

Cc: mahondaw
Kuna jamaa mmoja humu jf anamzimia sana miss, lakini huwa ananiambia kwamba..... miss ni sawa na saa mbovu, maana hachelewi kuja kuanzisha uzi humu....
 
huyu jamaa alinipenda saaana toka namaliza chuo . nilikuwa namringia maana aliishia la saba . nikamuacha nikadate watu wengine nikateswa huko weee nakuja kumrudia kwenda kupimana HIV .kumbe alishapata .ameoa mwaka jana mdada mzuri hatare halafu ananirushia vijembe sana yule dada maskini hajui mwenzake nilimuachia msala pale .huyo dada ni rafiki yangu sana . sijawai mwambia mtu yoyote kwamba jamaa ni muathirika ni siri yangu na yeye na dokta alietupima .ananiheshimu sana jamaa maana namtunzia siri yake .ila mkewe anaona kanikomoa eti niliachwa nyooo aaachwe nani .ngoja aanze kuisoma namba

naombeni muwe watulivu jamani acheni matusi kunihukumu ni mwishoni
Umenikumbusha dada mmoja aliyemkataa mchumba
kwa kuwa alikuwa na ugonjwa wa kifafa.Vyuma vilipokaza
akaona ni heri amrudie mgonjwa wake akamkuta kaishaoa.
 
Yaani una ahirisha kuolewa simply because nyumbani kwa mwanaume ni kuchafu? You are not serious Madame, sure I'm telling you. Subiri uje umuone mwanamke mwenzako anayejua umuhimu wa Mume atakavyo mbadilisha hadi utashangaa na roho yako! Ndio tatizo la mabinti wa siku hizi za mwisho
Umeambiwa ni mshirikina.....,pilaf
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom