Wanaume Wakristo tuwe wa mbele kukataa UNAFIKI

Wanaume Wakristo tuwe wa mbele kukataa UNAFIKI

Wee mtu una PUMBA, Khaaaa!!!!!!

Mbona majuu watu wanalipa kwanza ticket na ndiyo unaingia kwenye tube/Metro/Trams/Train/Buses?

Hata Ndege unalipa kwanza nauli na ndiyo unaingia kwenye Bus. Train za Tanzania, Mabasi ya mikoani nk wote wanakata ticket siku moja kabla na ndiyo wana safiri.

Upuuzi wa daladala kutokatisha ticket mapema kabla ya watu hawajaingia SI KOSA LETU. Msula eve hihihiiii 🙂
 
vyema kuwaasa wote kwakuzingatia maadili ya kimila na tamaduni zetu

lakini hajakosea kuwaasa wakristo kwa ref. kutoka kwenye biblia

Hili jukwaa watu wamezoea kuongea ngono na ufuska wao kiasi wanadhani ni dhambi mtu kukumbushwa anayopaswa kufanya kwa mujibu wa dini yake. Sasa kwa nini wanapiga kelele na si kuongezea hayo makaripio ya dini zao? Ingekuwa mada za kuingiliana kimwili ungeona jinsi wangefurahi mkuu

Kama yupo mwislamu atuongezee za kiislam twende sawa, wamekazana tu kumjadili mleta mada sasa ye si ndio dini yake au walitaka awapigie mbuzi gitaa na watu awape majani wale!

Kama yupo ustaadh mahiri aje na aya za Quran kwani kesi? Si kufunzana tu
 
Wee mtu una PUMBA, Khaaaa!!!!!!

Mbona majuu watu wanalipa kwanza ticket na ndiyo unaingia kwenye tube/Metro/Trams/Train/Buses?

Hata Ndege unalipa kwanza nauli na ndiyo unaingia kwenye Bus. Train za Tanzania, Mabasi ya mikoani nk wote wanakata ticket siku moja kabla na ndiyo wana safiri.

Upuuzi wa daladala kutokatisha ticket mapema kabla ya watu hawajaingia SI KOSA LETU. Msula eve hihihiiii 🙂

We utakuwa Mnyamwezi tu sio bure. Soma mada vizuri acha kukurupuka kama mama muuza pombe. Amesema hata yeye ni kosa konda kutotoa tiketi ila si sababu ya kudhulumu wengine pasipo haki. Sasa wewe umechoropoka ulikokuwa unajadili ngono umeingia kwa kutanguliza makalio kwani ndio yenye akili mwilini mwako. Habu soma mada upya kwa utulivu
 
Wewe ni Mkatoliki? Wewe huyu huyu uliyetoka kuikandia Injili? Ungeniambia we ni kiruka njia ningekuelewa lkn sio Mkatoliki labda haya madhehebu mengine ya vichochoroni.

Mkatoliki hawezi kuicha Biblia yake kwa kuwa mtu mmoja kaandika juu ya Biblia neno Novel. Acha unafiki wa kujiita Mkatoliki huku unakejeli Injili

Hata nikiwa naabudu kwa mtakatifu juma haikuhuu...
Wapi nimekandia biblia? unafiki huwa siintatein mimi!!!!!!!
 
Kwa hiyo kwenye daladala hiyo walikuwepo wanaume wakristo watupu?

Hata ukija na justification zipi, hapa umechemka, njoo na kichwa ingine

Ukimkuta mkeo anajiuza kwenye danguro, utauliza uhalali wa ndoa yako na mkeo au wa machangudoa wengine? Utathubutu kuwaambia wale wengine wamekosea ikiwa huna hakika kama kuna wanayemkosea?

Wewe una vichwa vingapi mkuu?
 
... Ninahitaji kuonana na baba paroko; sijui atakuwepo ofisini?...
Viongozi wa jumuiya wameninyima fomu ya kuandikisha mwanangu ili ajiunge na mafundisho ya Komunio' kisa eti sija lipa zaka!

Paroko ofisi yake inakuwa wazi siku ya jumatatu, jumatano na ijumaa.

Leo anaenda kuwaombea wagonjwa kwenye jumuiya ya Mt. Fransisca.

Shukrani ulitoa?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
vyema kuwaasa wote kwakuzingatia maadili ya kimila na tamaduni zetu

lakini hajakosea kuwaasa wakristo kwa ref. kutoka kwenye biblia

Ujumbe ni mzuri kama ungeandaliwa semina kanisani kwake ila hapa tunataka Topic inayotuunganisha wote ili baadaye tukapate hizo nyingine misikitini au kanisani kwetu....Naamini hapo umenipata, kama ndio sema sawa Mwalimu.
 
Kabisa. Watu wengine bana. Haya mambo ya dini na daladala wapi na wapi. Ameniudhi sana. Kama hana cha kuandika anyamaze kimya. Asome michango ya mwanakijiji.

Mwanamalundi upo baba?? eti michango ya mwanakijiji, huwa unaniuaaaaaaaa kucheka!
 
Last edited by a moderator:
Wewe ni Mkatoliki? Wewe huyu huyu uliyetoka kuikandia Injili? Ungeniambia we ni kiruka njia ningekuelewa lkn sio Mkatoliki labda haya madhehebu mengine ya vichochoroni.

Mkatoliki hawezi kuicha Biblia yake kwa kuwa mtu mmoja kaandika juu ya Biblia neno Novel. Acha unafiki wa kujiita Mkatoliki huku unakejeli Injili

Bold & Underline, looooh! kama tumefikia huku kimyakimya nasign off the topic, baiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Umejaribu kuleta report ya kuwanasihi au kuwapanasaha wanaume wakikristo pekee ukawabagua wanawake wakikristo, je hapa unaona umefanya vyema? Endelea kuleta report zaidi.
 
Ukimkuta mkeo anajiuza kwenye danguro, utauliza uhalali wa ndoa yako na mkeo au wa machangudoa wengine? Utathubutu kuwaambia wale wengine wamekosea ikiwa huna hakika kama kuna wanayemkosea?

Wewe una vichwa vingapi mkuu?

Tunaangalia jamii at large. Angetaka wanaume wakristo, basi asingekuja hapa MMU, angeenda makanisani.

Huo ni umakengeza.
 
Hapa parefu, hadi uvute bhange ndo umwelewe

Bora hata Natalia tushamzoea

mi nilijua kachumbari ni kwenye kuvaa tu!kumbe hata thread inaweza kuwa kachumbari!
uuuwih!ila na mi mbea kwani nimesoma ya nini si alisema wanaume wakristo?
au nshakuwa semenya?
ngoja niende kuhakikisha kwanza! Kongosho heb twende huku
 
Mbona nimeshakujibu? Ulitaka niwakemee Waislam, Wahindi na Mabudha na wengineo kwa reference ipi? Huwezi kumshitaki mtu kwa sheria isiyomfunga. Hii ni tabia mbaya kwa binadamu yeyote, lakini Mfaransa atahukumiwa kwa Torati ya Myahudi?

Ukikuta watoto wako wamo kwenye kundi la watoto wengine wanafanya ugomvi, wa kwanza kuwauliza ni watoto wako: ''Ndivyo hivi nimewafundisha?'' utakuwa na nafasi nzuri zaidi ya kuwakumbusha maadili yale uliyowafundisha na kuwarudisha kwenye mstari "Siku ile niliwaambia nini kuhusu ugomvi?"

Kama nimewakemea Wakristo kwa maandiko ya Biblia na wote maoni yenu yakawa kuwa nimekosea, ingekuwa vipi ningewakemea wa imani nyingine kwa kutumia Biblia?

Back to the topic,

Dala dala haikutangaza nauli ya sh 200?
Kama ilitangaza, ilikuwaje mlipe zaidi?
Nyie ndo mtakuwa wanafiki sana.

Halafu, acha kuwa mfarisayo na msadukayo.

Na bado hujanishawishi kuleta topic ya wanaume wakristu hapa, ungepeleka makanisani, hasa wa dhehebu lako.
 
Nimesoma na nikaamua kujibu hicho kipande tu, kwani ni UHURU WANGU.

Haya mambo ya USENGEnyaji nenda nayo Mombasa maana huko wapo wenzako watumia Masaburi.

Halafu niliyemjibu ni mwingine, wewe kimekuuma nini? Au ni wewe unaandika kwa ID mbili? Kama siye basi huyu Mzee wa Biblia na wewe wote mtakuwa wa-ANGLICAN.
We utakuwa Mnyamwezi tu sio bure. Soma mada vizuri acha kukurupuka kama mama muuza pombe. Amesema hata yeye ni kosa konda kutotoa tiketi ila si sababu ya kudhulumu wengine pasipo haki. Sasa wewe umechoropoka ulikokuwa unajadili ngono umeingia kwa kutanguliza makalio kwani ndio yenye akili mwilini mwako. Habu soma mada upya kwa utulivu
 
Nashangaa ni kwa nini wengine humu hamjamuelewa mleta mada. Nilivyomuelewa ni kwamba kwa namna fulani amejaribu kuelezea jinsi ukristo ulivyo kinyume na unafiki, na hiyo ya kondakta vs abiria ni mfano mmojawapo wa unafiki wa abiria (wakiwemo wanaume wakristu). Hiyo haikumaanisha kwamba wasio wanaume/wakristu wawe au ni wanafiki, la hasha! Hao either hajui misimamo ya itikadi zao au hataki kuizungumzia kwa niaba yao!

hivi kwani ni mara ngapi humu inatokea mtu anaweka thread kama vile "Wana-JF Arusha tujitokeze kwenye msiba wa mwana JF mwenzetu". Hii haina maana kwamba wasio wana JF au (wana JF) wasioishi Arusha hawatakiwi kuhudhuria msibani hapo, ila mleta hoja anazungumzia kundi mahususi ambalo anajua huwa linajitambulisha kwa misimamo au itikadi fulani, na anaepuka kuwasemea wengine!

Well said, ila unanichefua na Avatar yako
 
Nimesoma na nikaamua kujibu hicho kipande tu, kwani ni UHURU WANGU.

Haya mambo ya USENGEnyaji nenda nayo Mombasa maana huko wapo wenzako watumia Masaburi.

Halafu niliyemjibu ni mwingine, wewe kimekuuma nini? Au ni wewe unaandika kwa ID mbili? Kama siye basi huyu Mzee wa Biblia na wewe wote mtakuwa wa-ANGLICAN.

Huyu jamaa bana, kaona hana support kaamua aingie kwa id nyingine
 
So hiyo daladala ilikuwa na wakristo watupo,na kwanini usingeandika ST.DALADALA
Tukaelewa ilikuwa ya parokiani,hizi ni chembecheme za udini.Eeewe YESU ungekuwa ni wewe unge post hayo maneno yakibaguzi.YESU utarudi lini kondoo wanakupotosha huku JF
 
Back
Top Bottom