ishakuwa habari ya gesi tena!?
oh tate nane!
this is issue is veri serious e bana Mwanamalundi enh naomba nikudese kidogo
... Mzazi matakatifu wa mungu, usitunyime tukiomba katika shida zetu, utuokoe kila tuingiapo hatari, ee bikira mtukufu mwenye baraka...
WALA SI UONGO!hicho tu ndo nachoelewa NTAMSAHAUJE SASA!ilivo raha ?we acha kabisa uuwih tena ngoja nimpigie simu TUKUMBUSHANE!Mnapokuwa na mada zenu za 'namna ya kumjua aliyetoka nje ya ndoa', 'jinsi ya kumtoa mwanamke bikira', 'namna ya kumfukuza mama mkwe nyumbani' na kadhalika, hakuna limitaion ya mifano, na katika hayo mnaelewana sana.
Kama umeshindwa kuelewa ni kwa nini nimezungumzia Shura ya Maimamu ktk kumjibu huyo niliyekuwa namjibu, nina sababu gani ya kujidanganya kuwa kuna kitu kingine unaweza kuelewa zaidi ya TOPIC: 'Unajisikiaje ukimuona mwanaume aliyekutoa bikra'
ni bikraLa biblicana naona labda una hasira sana hebu pumzika kwanza uje baadae maana hatukuelewi!!!!!!!!!!!!!!! Issue hapa ni nini haswa? Makonda? Nauli? Unafiki? Gesi? au Ajali?
Sio title tuu hata akili yake imejaa udini na ubinafsi, kama vipi akaandae semina kanisani kwakeSiwezi kubishania swala la dini mie!!!!
title imesadifu.......
Afu ukristo ni dini ya nani? Mbona Yesu alikuwa Mu Islam.Sio title tuu hata akili yake imejaa udini na ubinafsi, kama vipi akaandae semina kanisani kwake
Kwa hiyo kwenye daladala hiyo walikuwepo wanaume wakristo watupu?
Hata ukija na justification zipi, hapa umechemka, njoo na kichwa ingine
Mnapokuwa na mada zenu za 'namna ya kumjua aliyetoka nje ya ndoa', 'jinsi ya kumtoa mwanamke bikira', 'namna ya kumfukuza mama mkwe nyumbani' na kadhalika, hakuna limitaion ya mifano, na katika hayo mnaelewana sana.
Kama umeshindwa kuelewa ni kwa nini nimezungumzia Shura ya Maimamu ktk kumjibu huyo niliyekuwa namjibu, nina sababu gani ya kujidanganya kuwa kuna kitu kingine unaweza kuelewa zaidi ya TOPIC: 'Unajisikiaje ukimuona mwanaume aliyekutoa bikra'
Afu ukristo ni dini ya nani? Mbona Yesu alikuwa Mu Islam.
... mzazi Matakatifu wa Mungu, Usitunyime tukiomba katika shida zetu, utuokoe kila tuingiapo hatari, ee Bikira mtukufu mwenye baraka...
Justifications? Don't tell me you are greater than My own God. Hainipunguzii nukta moja ya maisha yangu kushindwa kujieleza mbele yako kama ambavyo nitashindwa kuielezea dhamira yangu mbele za Mungu wangu.
By the way, ulitaka niwakemee Wahindi, Waislam na Wapagani kwa reference zipi?
Nakuahidi kuwa, ni kazi ngumu sana kujipatia sifa kwa kubishana na mtu asiyejali unawaza nini juu yake zaidi ya yale aaminiyo. Mimi naamini wale wa imani yangu, wenye mioyo ya kupokea maonyo na wameyapokea.
amina!
kweli mkuu,tatizo sema wana jf saa nyingine ni wakaanga sumu,wakitaka kukufungia vioo wanajidai hawajaelewa.........basi tu na mara nyingi flow ya replies inategemea wale wa mwanzo wamejibu nini.....so chill usijiharibie siku bureee......:smile::nimekataa:nimekataa