kbm
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 5,224
- 1,686
Amina. Mungu akubariki sana mkuu.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
... Na wewe pia mkuu... Tunasubiri matangazo ya Dominia ijayo...
Amina. Mungu akubariki sana mkuu.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
santeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh!Mbona kama una kahasira; kumbe ukweli unaumaeeeeeeeeeeeee, vp kama aliyemtoa ni mumewe una lakuongezea ili tuhame kwenye topic yako ya WAKRISTO?
... Na wewe pia mkuu... Tunasubiri matangazo ya Dominia ijayo...
La Biblicana, kulikuwa na haja gani ya kuandika 'wanaume wakristo'? Kwa nini usiandike wanaume? Kwani kwenye daladala waliochangia ni wanaume wakristo peke yake.
Huyo Mungu unayemwabudu ndiye nasi twamuabudu, naye hapendi unafiki, na hasa huyo mwanamke uliyemuita muhuni.
Kubali kuhariri kichwa cha habari ili twende sawa..
Napata shida sana kuelewa Muktadha wa hii hoja..nimejaribu sana kurudia na kusoma michango bado naona sielewi na nahisi nikichangia ntalikoroga..hebu ngoja ngoja niendelee kusoma tu michango ya wengine kama kina Evelyn Salt(kuandika hapa sio kwamba nimechangia..ila nimeandika ili nieleweshwe zaidi)...........
zamu ya usafi kwa juma lijalo ni kanda ya martin de pores
wakisadiwa na jumuiya ya mtakatifu yosefu mfanyakazi!
watoto wa mafundisho wabaki!
hivi kwa nini mods wanaachia mada za udini kny jukwaa letu la malavidavi?😱hwell:
mapishi ya ki-digitali @_@Amechanganya wali, nyama, ndizi, mchicha, nanasi utumbo na kila kitu kwenye sufuria moja
Mie nimeona uvivu hata kusoma
:confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2:daaaaaah :confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2:
... Ninahitaji kuonana na baba paroko; sijui atakuwepo ofisini?...
Viongozi wa jumuiya wameninyima fomu ya kuandikisha mwanangu ili ajiunge na mafundisho ya Komunio' kisa eti sija lipa zaka!
Amechanganya wali, nyama, ndizi, mchicha, nanasi utumbo na kila kitu kwenye sufuria moja
Mie nimeona uvivu hata kusoma
hivi kwa nini mods wanaachia mada za udini kny jukwaa letu la malavidavi?😱hwell:
Amechanganya wali, nyama, ndizi, mchicha, nanasi utumbo na kila kitu kwenye sufuria moja
Mie nimeona uvivu hata kusoma
Dear my hubby Kimbweka huyu jamaa umemtoa wapi ati? Maana mbona hasomeki kabosa mara wakristo mara konda tusichoshane bwana bora twende jukwaa letu la mambo ya kikei.
Udini?
MMU - Mahusiano, Mapenzi, Urafiki.
Mahusiano si tu namna ya kuishi kinyumba, kusalitiana, kuchukua mke/mume wa mtu mwingine na kujifunza mambo ya mwili. Mahusiano ni hata namna ile tunavyoishi na wafanyakazi wetu wa ndani, jirani na tunaokutana nao kwenye maisha yetu ya kila siku.
Kama kila mtu angeamua kufuata kwa makini maelekezo ya dini yake kwa namna ipi mtu anatakiwa aishi, basi hata hii mijadala yenu mnayoipenda isingekuwepo. Jibu la kwa nini mke wangu anatoka nje ya ndoa yetu lipo kwenye dini yako. Kwa hiyo utaona hata matatizo mengi yanayompata mwanadamu husababishwa na kuacha maagizo ya dini yake.
vyema kuwaasa wote kwakuzingatia maadili ya kimila na tamaduni zetuso wanaotakiwa kutenda mema ni wakristo peke yao tuache udini sio kitu kizuri.
Mimi ni mkirsto, m-catholic, lakini habari ya kujisemesha udini sisapoti ni unafiki....
hata hapo wewe unaonesha unafiki, kama umeintend kutoa ujumbe kwa wanaume kwanini usiwashirikishe waislamu, wapagani n.k kwanini useme wakristo tu?
siwezi kukwazika kwa kitu cheap nmna hii....dini zitumike vema kutuweka pamoja na sio kutugawa gawa kama mafungu ya nyanya!!!