Mvaa Tai
JF-Expert Member
- Aug 11, 2009
- 6,157
- 4,457
Mnapokuwa na mada zenu za 'namna ya kumjua aliyetoka nje ya ndoa', 'jinsi ya kumtoa mwanamke bikira', 'namna ya kumfukuza mama mkwe nyumbani' na kadhalika, hakuna limitaion ya mifano, na katika hayo mnaelewana sana.
Kama umeshindwa kuelewa ni kwa nini nimezungumzia Shura ya Maimamu ktk kumjibu huyo niliyekuwa namjibu, nina sababu gani ya kujidanganya kuwa kuna kitu kingine unaweza kuelewa zaidi ya TOPIC: 'Unajisikiaje ukimuona mwanaume aliyekutoa bikra'
Unajua nimecheka sana mpaka nikajuta kwanini nimesoma hili jibu maana kila mtu hapa ofisini kaniuliza unacheka nini?