Asalamaleko
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 2,802
- 7,935
Sasa ulitaka mwenzako ashinde uchi...
Afadhali hata umepigwa tukio nafurahi nikiona demu ameumizwa madem wamenifanyia kitu kinaya sanaHellow lovers,
Wanaume wabaya sana sana vuta picha mtu unampenda sana unaenda kumtembelea una mkuta na mwanamke amevaa khanga yako na tishet yako ambayo ulimpelekea mpenzi kama zawadi.
🙃Afadhali hata umepigwa tukio nafurahi nikiona demu ameumizwa madem wamenifanyia kitu kinaya sana
Wanawake mbona hampendani?Hellow lovers,
Wanaume wabaya sana sana vuta picha mtu unampenda sana unaenda kumtembelea una mkuta na mwanamke amevaa khanga yako na tishet yako ambayo ulimpelekea mpenzi kama zawadi.
SadWanawake mbona hampendani?
Mm najitolea kukufariji ktk kpindi hichi kigumuHellow lovers,
Wanaume wabaya sana sana vuta picha mtu unampenda sana unaenda kumtembelea una mkuta na mwanamke amevaa khanga yako na tishet yako ambayo ulimpelekea mpenzi kama zawadi.
Nimepigwa ban ya kubadili, ila nikiruhisiwa tu nabadili.
Yaani wwe umenikumbusha wale Wanawake ambao anaamia kwenye Ghetto lako bila Mwanaume kujua taratibu huwa mnaanza kwa kuaacha kanga, kesho unaacha gauni,Mara sanduku lishajaa kwenye Ghetto la msela, mwisho wa siku watu wanakuona unaishi hapo lakini hawajai kuona ukiingia na sanduku lakini viwalo wabadilisha Kama kawa! Na msela asingefanya hivyo wwe ndiyo ulikua uhamie kiujanjanja!!Hellow lovers,
Wanaume wabaya sana sana vuta picha mtu unampenda sana unaenda kumtembelea una mkuta na mwanamke amevaa khanga yako na tishet yako ambayo ulimpelekea mpenzi kama zawadi.
Naomba uniunge kwenye hiyo sala we fallerpole sana mdada.
Fumba macho tuombe tumtoe wako huko alikojificha.

Sema hawara wako ndio mbaya usijumuuishe wanaume wote.Hellow lovers,
Wanaume wabaya sana sana vuta picha mtu unampenda sana unaenda kumtembelea una mkuta na mwanamke amevaa khanga yako na tishet yako ambayo ulimpelekea mpenzi kama zawadi.
😃😃 njoo chap KanisaniNaomba uniunge kwenye hiyo sala we faller![]()
Wanasema kama haupo tayar kumwacha usifunge safar ya fumanizi!Hellow lovers,