Wanaume wabaya sana

Wanaume wabaya sana

Yap nimepigwa changa la machoo , nimejitoa hadi mwisho kumbe mwanaume yupo na mpenzi wake aliyemtambulisha tayari , majuzi kati simu ikapigwa kupokea anasema mke wangu halali Kisa message zako muhakikishie siye ni marafiki tu nasio wapenzi , halafu nikakata mwanamke akapiga akanikanya yalaah sijui waafrika wananionaje?? Kama taktaka hivi
Kuna Wanaume wanachepuka wana strong reason ya kuchepuka na huyu atakulinda ata kwa Mke wake na haofii ndoa yake kupotea ilimrad kuwe na factor nyngne zinazoeleweka ila kuna Wanaume wanachepuka na hawana reason ya kuchepuka,hao ujue hawawez kukulinda ata iweje...atailinda ndoa yake kwa vyovyote
 
Mwenzako angevaa nini sasa na kakuta nguo kwa boyfriend wenu
Ila Mzigua90 bhana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi wewe dada unakuwaga na wivu kweli?
Naonaga unasujudu sana kinywaji kuliko dudu[emoji23][emoji23]

Hebu funga...dudu au kinywaji zaidi[emoji16]
 
Hellow lovers,

Wanaume wabaya sana sana vuta picha mtu unampenda sana unaenda kumtembelea una mkuta na mwanamke amevaa khanga yako na tishet yako ambayo ulimpelekea mpenzi kama zawadi.
Na wewe , ukikuta ya mwanamke mwenzio pita nayo tu, fresh...
Shida yetu sisi binadamu tunajikuta na mastress kila kukicha, kwasababu we demand too much, kuliko vile tunavyostahili...[emoji848][emoji848][emoji848]

Ukiona hivo ujue kuna sababu.... na pengine labda wewe ndo umeisababisha....

Wataalamu wanasema, Katika kila jambo , linalotokea machoni mwako, utakuwa umesababisha kwa asilimia fulani...either kwa kutokujua au kwa kujua...🫠
 
Ila Mzigua90 bhana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi wewe dada unakuwaga na wivu kweli?
Naonaga unasujudu sana kinywaji kuliko dudu[emoji23][emoji23]

Hebu funga...dudu au kinywaji zaidi[emoji16]
Mkuu dudu isifananishwe na mengine. Wivu kwenye mapenzi sunna mkuu
 
🤣🤣Kumbe ni boifrend,kawaida sana hiyo,enzi za usichana wangu nilimfumaniaga boifurend nikamuacha kwa hasira manake mie nilikuwa serious naye,kumbe mwenzangu kaniweka kama money relief yake akikwama🤣ukizingatia alikuwaga apeche alolo🤣🤣saivi nikimwonaga huwa nacheka sana 😅 afu namwambia we fala sijui nilikupendea nini🤣🤣🤣
 
Hellow lovers,

Wanaume wabaya sana sana vuta picha mtu unampenda sana unaenda kumtembelea una mkuta na mwanamke amevaa khanga yako na tishet yako ambayo ulimpelekea mpenzi kama zawadi.
Njoo kwangu my
 
[emoji23][emoji23]
Pole sana sasa na ww uliviacha kwake vya nn?
 
Back
Top Bottom