Wanaume wabaya sana

Wanaume wabaya sana

Mwanaume unaongea naye hasa hadi umezoena Naye miezi 3 na zaidi ila kumbee anakuchora mbwa yule baadae kaenda Kwake unapigiwa simu unaambiwa mke wangu halali Kisa message zako , halafu mkewe anakupigia kukukanya uache usumbufu nahuku ulikuwa inaitwa mrembo wangu umeamkaje , Masai wangu mzima dah wanaume kiboko saivi acha kuandika message mbaya mke wangu hazitaki . Yallah , mtume simama wanaume wanaume ila yote maisha ipo siku yangu .aisee ....

Wanaume wapo ila wangu yupo mahali tu sijui kwanini najitoaga ufahamu situliagi hadi aje sijui kwanini
 
Pole dear umeongea Kwa uchungu😂😂😂
 
😂😂😂💔 pole sana mdada.
Fumba macho tuombe tumtoe wako huko alikojificha.
 
baadae kaenda Kwake unapigiwa simu unaambiwa mke wangu halali Kisa message zako , halafu mkewe anakupigia kukukanya uache usumbufu nahuku ulikuwa inaitwa mrembo wangu umeamkaje , Masai wangu mzima dah wanaume kiboko
Poleni sana sometimes mkubali tu kuwa michepuko.

Nishasema mwanamume atachepuka achepukavyo ila kwa ampendaye au mkewe ampendaye atapalinda
 
Mwanaume unaongea naye hasa hadi umezoena Naye miezi 3 na zaidi ila kumbee anakuchora mbwa yule baadae kaenda Kwake unapigiwa simu unaambiwa mke wangu halali Kisa message zako , halafu mkewe anakupigia kukukanya uache usumbufu nahuku ulikuwa inaitwa mrembo wangu umeamkaje , Masai wangu mzima dah wanaume kiboko saivi acha kuandika message mbaya mke wangu hazitaki . Yallah , mtume simama wanaume wanaume ila yote maisha ipo siku yangu .aisee ....

Wanaume wapo ila wangu yupo mahali tu sijui kwanini najitoaga ufahamu situliagi hadi aje sijui kwanini
wee Da maua eti nn??
 
Back
Top Bottom