Wanaume wabaya sana

Wanaume wabaya sana

Ukitaka udumu kwenye mahusiano na ndoa za siku hizi lazima ukubali kusalitiwa ni jambo la kawaida. Wa kwako peke yako hayupo dunia ya sasa.

Wengine siku hizi wamefikia hatua ya kujisemea cha muhimu nisijue
 
aisee kuna kauafadhali kuona dem kapigwa tukiosio kila siku wanaume ndo tunatia huruma huku jf
Huwa nafarijika sana kuona wanawake wamepigwa matukio, huwa nafurahi sana, kwa ground hawa wanawake wanatesa sana wanaume, hivyo ni haki yao na wao waumizwe.

Me ningefurah zaidi kama mtoa thread angealikwa kama msindikizaji kwenye harusi ya jamaa ake akimvisha pete dem mpya, pete iliyonunuliwa na mlalamikaj mtoa thread.

Hili jambo lingetokea ningeshiriki namm kutoa mchango wa meza V.I.P
 
Unamsalimia na wewe unaingia bafuni unaoga unabadili nguo unavaa kanga moja unaungana na mke mwenzio kumhudumia mume wenu mtarajiwa.

Maisha mafupi sana haya kunyang'anyana wanaume. Kizuri kula na mwenzio.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Hii ni violence
 
Wewe ni muhini tu unavoandikaga nyuzi magazeti kumbo ndo uko hivi
 
Huwa nafarijika sana kuona wanawake wamepigwa matukio, huwa nafurahi sana, kwa ground hawa wanawake wanatesa sana wanaume, hivyo ni haki yao na wao waumizwe.

Me ningefurah zaidi kama mtoa thread angealikwa kama msindikizaji kwenye harusi ya jamaa ake akimvisha pete dem mpya, pete iliyonunuliwa na mlalamikaj mtoa thread.

Hili jambo lingetokea ningeshiriki namm kutoa mchango wa meza V.I.P
Hahaha eeeh akili za kishetani
 
Kwann unawaaminisha watu hvyo? Ni kitu kinawezekamasema fikra za watu wameona ndo kila mtu yupo hvyo siku izi
Kwa mfano sisi wanaume huwa haturidhiki na mwanamke mmoja tusiwadanganye dada zetu

Unaweza ukawa mke wangu au demu wangu na nakuhudumia vizuri lakini lazima nichepuke. Sisi ni watu wa tamaa mwanamke akinivutia nitataka nimgegede

Habari njema ni kwamba sisi wanaume hata tuchepuke upendo wetu unabaki palepale kwa yule tuliyempenda kikweli
 
Mapenzi yatawatesa sana kwa sababu mko kuangalia maisha ya mwanamume je, anajiweza?

Na sisi wanaume tukiwa na vihela huwa hatuachi mbususu na tutakuigizia tunakupenda na vizinga utanipiga ila kuna mmoja ambaye tunakuwa tunamwelewa wa kufanya naye maisha

Sasa inategemea wewe uko wapi kati ya hao wawili
Shem mbona unatuchamba
 
Back
Top Bottom