Taured
JF-Expert Member
- Dec 12, 2010
- 805
- 696
Kwa Nini hukutoa taarifa? Mambo mengine mnayataka wenyewe unaenda kufanya suprize unakutana na suprize yenyewe! Anyway pole Kwa yaliyokukutaHellow lovers,
Wanaume wabaya sana. Vuta picha mtu unampenda sana, unaenda kumtembelea unamkuta na mwanamke amevaa khanga na tishet yako ambayo ulimpelekea mpenzi kama zawadi.