😊Pole kwa tukio kubwa kama ilo Tena na hii sikukuu, achana nae ako ni chakula ya sikukuu tu
Kanachezewa
Uko wapi Nije tuwe mabest tu wala hatukulan
Asantee.WAnaume ni wazuri na Wanawake ni wazuri pia
Ubaya ni USALITI
Yap nimepigwa changa la machoo , nimejitoa hadi mwisho kumbe mwanaume yupo na mpenzi wake aliyemtambulisha tayari , majuzi kati simu ikapigwa kupokea anasema mke wangu halali Kisa message zako muhakikishie siye ni marafiki tu nasio wapenzi , halafu nikakata mwanamke akapiga akanikanya yalaah sijui waafrika wananionaje?? Kama taktaka hiviwee Da maua eti nn??
Sad😭Yap nimepigwa changa la machoo , nimejitoa hadi mwisho kumbe mwanaume yupo na mpenzi wake aliyemtambulisha tayari , majuzi kati simu ikapigwa kupokea anasema mke wangu halali Kisa message zako muhakikishie siye ni marafiki tu nasio wapenzi , halafu nikakata mwanamke akapiga akanikanya yalaah sijui waafrika wananionaje?? Kama taktaka hivi
True aisee ila mie sio mchepuko ninamahali ila sipaheshimugi tungoja nianze kuwa muelewa kabla haijawa too latePoleni sana sometimes mkubali tu kuwa michepuko.
Nishasema mwanamume atachepuka achepukavyo ila kwa ampendaye au mkewe ampendaye atapalinda
Mnazidia 😭😭Ishu ndogo iyo malizana nae maisha yaendelee. Wote tupo ivo ivo.
Acha tu nimshangao kwangu hili tukio sio la mchezo limeniuma sana . Yaani nimejijua Sasa na pia kujitambua nimejaribu sana huu upande ila umeshindikana upendo ni zero Kwao wanapenda wengine aisee ila mie nimekuwa wa mchezo .... Aisee hili linauma sijawahi kuumia hiviPole dear umeongea Kwa uchungu😂😂😂
Fanya hivyo kabla wenzako hawajamuwahiTrue aisee ila mie sio mchepuko ninamahali ila sipaheshimugi tungoja nianze kuwa muelewa kabla haijawa too late
Msijali atakuja soon ila inabidi nitulie naangeanza kwangu ndio aende Kwake ndio ingeniuma zaidi Bora nimepashwa mapema kabla sijafungua Mali ya bibi ningelia kweli😂😂😂💔 pole sana mdada.
Fumba macho tuombe tumtoe wako huko alikojificha.


Hakukupenda ajiegesha kwa sababu hana kaziMm nimekaa na mwanaume miaka miwili nimekuwa nikimsaidia kwakila kitu lakini alipokuja kupata kazi tu akaniacha na kwenda kwa wanawake wengine
Wanawake wenzangu walioumizwa tushare hili kama limekukuta njoo hapa![]()
Kweli☺️Hakukupenda ajiegesha kwa sababu hana kazi
Kindness_cu kindly go to bed🙂Kweli☺️
Nimepanic☺️Kindness_cu kindly go to bed🙂
Pole njoo kwangu upate tulizo la moyoMm nimekaa na mwanaume miaka miwili nimekuwa nikimsaidia kwakila kitu lakini alipokuja kupata kazi tu akaniacha na kwenda kwa wanawake wengine
Wanawake wenzangu walioumizwa tushare hili kama limekukuta njoo hapa![]()