Wanaume wa Tanzania hawaogi, Hawafui nguo za ndani, Hawapigi mswaki?

Ha! ha! ha !ha! ha! ha! Nadhani alikuwa ameropoka bila kufikiria then amepata somo "no evidence no say"
 
Vile vitozi anavyodate navyo vitakuw vichafu, afu naskia ana stress hatari, aliachwa!!!
 
Hata mimi sikuipenda hii,
huyu dada anamapungufu fulani,
huwezi ukatema uchafu kama huo kwenye
kitu inaitwa 'peoples station'
 
Unaniuliza mimi kwani mi nawajua?
Alafu hivi kumbe mvulani wakiwa wengi ni wanaume ehhh?!
Nimetaja mvulana kwa makusudi tu, siku zote mvulana ndio huwa na mapungufu, lakini mwanamume hutimia kidara labda awe kilema tu!
 
MMU imefika page ya 90...tuhamie kule!mm bado sijatukana...na TUSI langu hakuna ambaye amelitaja so far...ntakua wamwisho...tukaneni yenu yooote yaishe.. Mamndenyi nenda kule stoo kalete matusi!...
 
Last edited by a moderator:
Nadhan anawazungumzia aliotembea nao mo racka,b12,mchezaji wa yanga na pia wale anaopiga nao story kina kibonde,mchomvu,antonionugaz,castro dikson,sudibrown,rubendege,kayanda na mabosi wake,ruge,joseph na kina seba maganga,pia na mabrother zake kina malinzi jr.
 
Dah! inawezekana yupo right manake nimejaribu kunusa boxer yangu hapa inatema mbaya na imenitibua sinus ndani ya dakika 4.
Acha niwahi JF dokta
 
Muda mwingi anawaza mapenzi na majungu yule mwanamke ni ****

muda wote anajibandika mikope na mikucha ya bandia, mi eye contacs ili aonekana na ye wa ukweee! kumbe kafubaa ka mkeka wa mahindi. yule dada anajiona sana, anaboa mno!
 
...kuna mdada humu ana shobo kama za diva...nahisi ni mbaya hakuna mfano!...simo!

na mimi pia nimemwona. Halafu hata jnc anavyoandka humu inaonesha kuwa ni m baya kama huyo dinya diva....... BAGAH unaona sana wewe
 
Last edited by a moderator:
Yeye mwenyewe ni msafi? Tatito la kumegwa kabla ya umri ndicho kinacho msumbua kufanya kila kitu anafahamu.
 
Hili nimelikuta kwenye ukurasa wake wa facebook anasema wanaume wengi wa tz wananuka boxer,midomo,soksi nk,nimelileta hapa jf magreat thinker mnalizungumziaje?

Hivi ili aqualify kusema wanaume wengi wa Tanzania si anatakiwa awe ametembea na kama wanaume 500 hivi. Sasa hii ni kweli? Au yeye akitembea na hivi visharobaro, wacheza shoo na watangazaji wenzake na maboss zake tayari ana toa hitimisho. Kweli gunzi ni gunzi tu halina mahindi!!
 
na mimi pia nimemwona. Halafu hata jnc anavyoandka humu inaonesha kuwa ni m baya kama huyo dinya diva....... BAGAH unaona sana wewe

pacha Nicas Mtei huyu mtu nahisi ana stress za maisha...yaani ni copy-ryt na huyu diva!wenzio wakifanya utani wewe unakomaa unadhani ni kweli...

au stress za kujikuta na sura MBAYA?...maana warembo humu kibao na hawana shobo...lenyewe kama gari la mkaa...ila nongwa kila kukicha.!
 
Last edited by a moderator:
seriously, sijaona cha ajabu sana alichosema kiasi cha kumsulubu hivi, mara ngapi hapa wanawasema wanawake wananuka na watu wanachangia jinsi ya kuboresha usafi na si kumsulubu aliyesema hayo.

Nachoona hapa ni 'ego' ya kiume na wale wanaofuata tu kuponda.

Ukute hii imeletwa hapa kwa uhasama wa kikazi ambao tunasaidia kumsulubu bila jua imeletwa hapa hasa kwa nia gani.
 
Bramo, hata kama amefikia kusema haya baada ya akumegwa na wanamme 2000, na yeye kukwolifai kuitwa kicheche hakuondoi tatizo la uchafu wa boxer.

Ukicheche wake ni point A na uchafu wa boxer ni point B.

Kimoja hakina mahusiano na kingine,

ndio, hata wanawake wachafu wapo, na wakiambiwa kuwa wasafi hawahangaiki kumsulubu mleta mada sababu ni 'fact'

kuna watu wanasema 'no research no right to speak' kwenye mada hii, je wanaoleta mada za kuwa wanawake waloolewa wavivu kitandani hiyo risearch inakuwa imefanyika wapi? Anakuwa amefanya ngono na wanawake wangapi walioolewa?

Tungejadili jinsi gani akina kaka/baba wa-improve usafi ningeona kuna mantiki zaidi ya kumzodoa aliyesema hili.

Kongosho , If that is the case, then hili tatizo lipo hata kwa Kina Dada/ wanawake pia, kama wanategemea mahindi ya Misaada,watapata wapi hela ya Kununua chupi.
Pia maswali zaid, kajuaje, amemegwa na wanaume wangapi mpaka akapata hiyo research, ina maana hao wanaume waliommega wote wa kijijini, Huyo Demu anataka kujieleza how kicheche she is mpaka kujua Maeneo Nyeti ya wanaume tofaut tofaut.
Pambaf zake
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom