Wanaume wa Tanzania hawaogi, Hawafui nguo za ndani, Hawapigi mswaki? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaume wa Tanzania hawaogi, Hawafui nguo za ndani, Hawapigi mswaki?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by The Don, May 21, 2012.

 1. The Don

  The Don JF-Expert Member

  #1
  May 21, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 3,455
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Hili nimelikuta kwenye ukurasa wake wa facebook anasema wanaume wengi wa tz wananuka boxer,midomo,soksi nk,nimelileta hapa jf magreat thinker mnalizungumziaje?
   
 2. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #2
  May 21, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  sasa kama yeye anatembea na akina kibonde anategemea nini. Aje kwangu aone
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  May 21, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Mnampa klediti nyingi sana huyu binti wala asizostahili.

  Anyway, kuna ukweli fulani tena wengi hata boksa hawana.

  Ukipita vijijini utagundua mtu analala siku 2 bila kuoga.
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  May 21, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  kama ana-date na visharobaro....vitaacha kunuka.....afate wanaume wenye staha zao aone.....
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  May 21, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,497
  Likes Received: 19,912
  Trophy Points: 280
  anamwongelea kibonde na wanaume wa redio clouds kina ruge...aje huku aone kama atabanduka..kajitongozesha kwa mabossi maskini wee matokeo yake ndio haya
   
 6. n

  ngaranumbe Senior Member

  #6
  May 21, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 148
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Haijatulia
   
 7. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #7
  May 21, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Preta, kama ameongelea kwa popn ya TZ nzima kunaweza kuwa na ukweli.

  Asilimia kubwa ya watz wako vijiji na hizo shower jely watazipata wapi? Au hizo boksa watapata wapi wakati wanahitaji mahindi ya msaada?

  Kuna ukweli hapa, labda kama tunaongelea hawa wa mjini wenye makazi makubwa.

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #8
  May 21, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  utamjua mtu kwa company yake. inaelekea naye ndivyo alivyo!
   
 9. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #9
  May 21, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  kumbe ananini na maboss wake!.
   
 10. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #10
  May 21, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  wanaume wachafu sio watz tu...embu ajaribu wazungu wanigeria wakongo alafu atuambie kama watz ndio wachafu zaidi...
   
 11. Tz-guy

  Tz-guy JF-Expert Member

  #11
  May 21, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nina mashaka na huo utafiti, isije ikawa katembea na vivulana viwili-vitatu halafu anawaita wanaume!
   
 12. The Don

  The Don JF-Expert Member

  #12
  May 21, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 3,455
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Pia alichouzi zaidi mbona hajazungumzia uchafu wa wanawake pia?wengine yani......
   
 13. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #13
  May 21, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Ameyataka wacha achanwe tu kanajidai kana jua sana kale ka bint
   
 14. Mkare_wenu

  Mkare_wenu JF-Expert Member

  #14
  May 21, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  Alisema msimzungumzie jaman wanaJF hamsikii?
   
 15. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #15
  May 21, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  diva loveness ndo nani? Na ametembea na wanaume wangapi moaka akafikia hiyo conclusion?
   
 16. The Don

  The Don JF-Expert Member

  #16
  May 21, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 3,455
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Kama hataki kuzungumziwa basi na yeye afyate mdomo kimya,siyo kuona ana haki ya kuzungumzia wengine akisutwa inakuwa nongwa
   
 17. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #17
  May 21, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,497
  Likes Received: 19,912
  Trophy Points: 280
  pieni pic zake hapa kwanza tumuone
   
 18. luhala

  luhala JF-Expert Member

  #18
  May 21, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 412
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwani amekutana wapi na wanaume hao wengi nchini? Nina mashaka na utafiti anaosema ameufanya, wapi amepata sample na aliipataje, isije ikawa kachukua wanaume wa hapo hapo kazini kwake wawili, watatu akajiridhisha ati ndiyo wanaowawakilisha wanaume wa Tanzania nzima.
   
 19. Songoro

  Songoro JF-Expert Member

  #19
  May 21, 2012
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 4,136
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Yeye kafata Bomba au Boxer,atoe matokeo ya alichofata,au nae awape ukumbi vile vibitoz vianike kikufuli chake kilivyo!
   
 20. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #20
  May 21, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Watu wengine badala ya kudiscuss maada, mnaanza kumdiscuss yeye......!! Anyways.....ila kwakweli hawa wenzetu walio wengi mmmh vitu wanavyovivaa ndani duh....disaster!!!
   
Loading...