Wanaume wa style hii...

Wanaume wa style hii...

Something New, 2006.............kuna possibility ukakutana na beyond xpectations, sexual chemistry mh!, uncompatibility....afu the whole bunch of time he wasted on sharpening his axe, was a purely wasted efforts.

Thats the fun because you never know, till you know! If you dont go how will you find out for sure!
 
hahahahaha haya mama washauri hawa wa online ila sio mie, i gat the game, sina muda wa kukutana ma dracula
 
Kijana mbona unakosa stahaaa! We umetuomba mawazo yetu, tumetoa!!! Mwsho watuita MADARCLA!!!!!!!! Kweliii!!!!!!!!!!!!!!
 
jamani haya si majina tu ya utani, mf me galfnd wangu ananiitaga sexy dinnosaur, mara sexy beast... samahani kama umekwazika... didn't mean to
 
hahahahahahahahahaha napita mie fanya upendavyo na ucfanye wapendovyo.naachia mada.
 
hahahahahahahahahaha napita mie fanya upendavyo na ucfanye wapendavyo.naachia mada.
 
khaaa hanipati ng'o kutumia mtandao mi nataka uso kwa uso unidanganye uone ka sijakutoa nduki
 
ndo hutawapata sasa wakukuangalia usoni na kukupiga sound mpaka unakata nyasi zote hapo chini...wakati wa digitali
 
Time will tell! yo no wat, wat i have experienced z dat many of us (men), we do not know hw to approach a women! ni tofauti sana jinsi ya kuapproach ukiwa safarini, njiani, mnadani, club, na sehemu zingine kwa sababu watanzania wengi ni wavivu wa kusoma vitabu wanasubiri semina.
 
hiyo ni noma mkuu watu wanasubiri waundiwe tume wapunguze online dating, face to face in any aspect ndo mpango mzima
 
Back
Top Bottom