Franky
JF-Expert Member
- Apr 27, 2012
- 2,271
- 2,871
Mtanisamehe kama kuna mtu ashawahi post ya aina hii...
Nimekaa nikawaza nikaona wanaume wengi wanaopenda kutongoza huku kwenye social networks huwa ni wazito kuongea a.k.a madomo zege kwenye natural settings akiwa na mwanamke. Anakuwa mzito wa kuanzisha maongezi, anakosa basics za courting, anakuwa na less general confidence ivyo basi anaona njia rahisi ya kupata mwanamke ni through blind dates, so he lets his finger tips do the talk, afu wakipanga mihadi ya kukutana na manzi anataka kumalizia tu, mara nyingi anakosa umaliziaji mzuri, ndo maana manzi wengi wanatuona wazushi...
Wengine ni baada ya kujaribu bila mafanikio kwenye normal dates, either ashazoea kuchukua wanawake kwenye open spaces and sehemu mbalimbali za starehe lakini baada ya muda anaona ajaribu na blind date kidogo, funny though unaweza ukakutana na sexy beast au chombo...all in all it work both ways.....mwana jf wewe una mtazamo upi?