Wanaume wa kichaga

Wanaume wa kichaga

Kama ndio ww kwenye hio picha ulioweka basi ni haki yake ya halali kabxa kupooza mpaka hapo mtakapoachana!!! N uxhauri tu
Kajifunze kwanza kuandika, yaani wewe umepooza hadi uandishi sipati picha kwingine ukoje. Utakuwa ni pooza la kiwango cha fly over wewe. Pesa huna,mapenzi hujui na kuandika pia hujui🙆 sijui utakuwa mgeni wa nani.
 
Sijui swali la mtoa mada linataka nini.
Uchangamvu wa mtu hauhusiani na kabila.
Wachagga tunajua mapenzi, ila hatuabudu na kusujudia wanawake.
Mapenzi na kiwango yanatofautiana kulingana na mahitaji ya mtu.
Mfano, Muhaya na Msambaa akiolewa na Mchagga, kuna uwezekano mkubwa wa malalamiko kutokea.
Sababu ni kwamba, Muhaya na Msambaa sana mahitaji makubwa kingono yaani bila kutiwa mara mbili kwa Siku hawatosheki.
Ila Mchagga akiwa na Mchagga mwenzake watashibana kwa sababu wanawake wa Kichagga siyo watu wapenda ngono sana na hawana mahitaji makubwa ya ngono.
Ni hivi, siyo lazima uolewe na Mchagga, kama unapenda sana ngono olewa na makabila kama Wahaya, Waha, Wangoni, Wasambaa, Warangi na wengineo.
Wachagga tunasex ila sex na ngono siyo kipaumbele.
Mapenzi yanaletwa na utulivu wa kiuchumi.
Kama unapenda sana ngono kupita kiasi, na kama unataka mwanaume wa kukuabudu achana na mahusiano na Mchagga maana hatupendi vishoia shobo hadi kwa majirani.
Sidhani Kama mtoa mada anapenda ngono kupita kiasi yaani ni vile hampo romantic hamsisimui. Hata kama hampendi ngono sex inahitaji kuwe na moto flani hivi Sasa nyie mmpepoaa.
 
Wachaga kwa wachaga ndio inanoga. And ofcoz iko reccomended hivyo.
Ni kama wahindi kwa wahindi.
Hata dada zao wanawakimbia siku hizi maana wamegundua walichokuwa wanakikosa for so long.
 
Sijui swali la mtoa mada linataka nini.
Uchangamvu wa mtu hauhusiani na kabila.
Wachagga tunajua mapenzi, ila hatuabudu na kusujudia wanawake.
Mapenzi na kiwango yanatofautiana kulingana na mahitaji ya mtu.
Mfano, Muhaya na Msambaa akiolewa na Mchagga, kuna uwezekano mkubwa wa malalamiko kutokea.
Sababu ni kwamba, Muhaya na Msambaa sana mahitaji makubwa kingono yaani bila kutiwa mara mbili kwa Siku hawatosheki.
Ila Mchagga akiwa na Mchagga mwenzake watashibana kwa sababu wanawake wa Kichagga siyo watu wapenda ngono sana na hawana mahitaji makubwa ya ngono.
Ni hivi, siyo lazima uolewe na Mchagga, kama unapenda sana ngono olewa na makabila kama Wahaya, Waha, Wangoni, Wasambaa, Warangi na wengineo.
Wachagga tunasex ila sex na ngono siyo kipaumbele.
Mapenzi yanaletwa na utulivu wa kiuchumi.
Kama unapenda sana ngono kupita kiasi, na kama unataka mwanaume wa kukuabudu achana na mahusiano na Mchagga maana hatupendi vishoia shobo hadi kwa majirani.

Sasa mbona hadi dada zenu wanasema mmepooza?
Kusema mnayajua mapenzi sidhani kama unajua unachomaanisha, hayo mapenzi ndio ninayoyaongelea hapa na nikasema mmepooza kuanzia sebuleni hadi chumbani.

Kusema hampendi ngono ni utetezi, ngono mnapenda sana tu ila hamyajui mapenzi kwa ujumla wake.
 
Mama!
Makabila yapo 120+.
Tafuta size yako.
Ukipenda zege kavu, au zege rojo la kutatuka, nini juu yako.
Kama specifically umeshagundua Wachagga kwako ni tatizo, tafuta kabila la size yako.
Kama hatujui mapenzi, imekuwaje Mkoa wa Kilimanjaro ukajaa watu?
Na bado nchi nzima wachagga tumeenea
Wachagga hatufanyi uma
Kumbe kuzaana ndio kujua mapenzi?
 
Sidhani Kama mtoa mada anapenda ngono kupita kiasi yaani ni vile hampo romantic hamsisimui. Hata kama hampendi ngono sex inahitaji kuwe na moto flani hivi Sasa nyie mmpepoaa.
👏👏👏👏👏
Hiki ndicho nilichomaanisha, nashukuru kwa kunielewa.
 
Kwenye utafutaji kweli wanajitahidi, ila huu upande mwingine wanafanya maisha yanakuwa magumu kweli. Huyu wangu kuna wakati namuangaliaaa hata simmalizi, yes he is handsome ila thats all😤😤

Akina Manka sijui wanayawezaje haya.
Kwani we ni kabila gani mkuu...???
 
Back
Top Bottom