Mbabe hunter
JF-Expert Member
- Jul 15, 2016
- 327
- 478
KaribuHata mimi sijawahi kusikia, itakuwa kweli yaliyomo yamo.

Msaada wa wakuu
TECNO K7
LINE YA VODA IMEKATAA KUTOA CMU INAPOKEA TU UKIPIGA INAANDIKA ACT LIMIT EXCEED
Mwaka 1998 (baada ya shamvulio la bomu) wa Marekani walikuwa wanashangaa vituo vikuu vya polisi havina hata mashine ya kudurusu nyaraka (photocopier). Miaka 21 baadae hatuna tofauti sana na mwaka 1998.
unaweza ukawa sahihi kwa upande mmoja na kwa upande mwingine usiwe sahihi,nasema hivyo kwa sababu hakuna mtu asie na madhaifu,kila mtu ana udhaifu wake ,ila kama unampenda mtu unaweza kuishi na kuvumilia madhaifu yake,jiulize maswali haya: je unadhani hakuna analokuvumilia wewe? na je utakapokwenda una uhakika gani utakayempata atavumilia madhaifu yako?, je utakayempata utaweza kuishi na madhaifu yake?, kumpata mtu anayekupenda, kukuheshimu na kukutimizia mahitaji yako si jambo jepesi dadangu.
jaribu kukaa nae chini muyaongee
NB:tatizo sio kabila, mimi ni mchaga and am very funny
hili jibu ni la shombo ile nimeshindwa kujizuia kucheka
![]()
Kwamba
Huo us..nge sijui wakuwa fun na makorokoro kibao kawatafuteni machoko wa pwani huko n.k
Sisi tupige tako mbili tatu wazungu hawa hapa..tunaendelea na mbishe nyingine,ukitaka kaliwe nje huko chiu si wako

Huyo usimuache bali njoo pm tuyajenge uwe na mimi niwe kidumu chako yy mwache awe bize na hera mimi nitakuwa bize na ww na nakuhakikishia hutajuta kamweHabari wadau wa MMU.
Hivi kuna mtu aliwahi kudate mwanaume wa kichaga akapata its fun being with them?
Niko na huyu mwanaume 2years+ ila amepooza haswaaa, nothing about him is fun. Natafuta tu namana ya kumtoka maana sienjoy kuwa nae.
Kabla yake niliwahi pia kuwa na mwanaume mmoja wa Old Moshi, it was the same. They are not romantic,viburi na hata hawanogi kuwa nao yaani. Hawajachangamka kuanzia sebuleni hadi chumbani wamepooza "kweri kweri".
Nyie mloolewa au mnaodate hawa watu mnawezaje maana mie naona its not my cup of coffee at all.
Kwenye utafutaji kweli wanajitahidi, ila huu upande mwingine wanafanya maisha yanakuwa magumu kweli. Huyu wangu kuna wakati namuangaliaaa hata simmalizi, yes he is handsome ila thats all
Kuulizia ulizia hapa na pale story zikawa ni hizo hizo tu.
Akina Manka sijui wanayawezaje haya.
I see!
Huyu namvumilia tu maana namalizia ujenzi wa nyumba yangu niachane nae maana sidhani if i can spend the rest of my life with someone like this. Nitamchoka mapema sana.
Kupanga ni kuchagua wao wamechagua mali sisi tumechagua mapenzi kozi mapenzi kwanza mali baadae.. Njoo kwangu uenjoy maisha uanaishi kama uko peponi no majuto ni raha tu mwanzo mwisho kazi yangu ni kula mbegu za maboga, karanga, pweza na tiziKupanik huku kunaonyesha wote mtakuwa hivyo.
Kwani wanaume wa pwani wamekukosea nini hadi uwatusi hivyo? Mbona hawana shida na mtu kabisa.

Umewaza mbali sana maninaaaa!!!Akili kama hizi zinafanya watu watumie vibaya magunia ya mkaa.
Usipowaza mbali unaweza kujikuta mahali pabaya mkuuUmewaza mbali sana maninaaaa!!!
Huyo usimuache bali njoo pm tuyajenge uwe na mimi niwe kidumu chako yy mwache awe bize na hera mimi nitakuwa bize na ww na nakuhakikishia hutajuta kamwe
Pesa zake tutazitumia kufanya matanuzi, maisha yenyewe mafupi kwann usijipe raha mwenyewe.

hata kina manka ndivyo walivyo wenyewe kazi ni kuchuna tu pesa anaweza singizia Umemwibia hadi unajenga wewe mwizi tu you not a material wife you are devil.We mchubaji tu mbona unaenjoy pesa zake
ww utakuwa uliwahi kupita umalayaHabari wadau wa MMU.
Hivi kuna mtu aliwahi kudate mwanaume wa kichaga akapata its fun being with them?
Niko na huyu mwanaume 2years+ ila amepooza haswaaa, nothing about him is fun. Natafuta tu namana ya kumtoka maana sienjoy kuwa nae.
Kabla yake niliwahi pia kuwa na mwanaume mmoja wa Old Moshi, it was the same. They are not romantic,viburi na hata hawanogi kuwa nao yaani. Hawajachangamka kuanzia sebuleni hadi chumbani wamepooza "kweri kweri".
Nyie mloolewa au mnaodate hawa watu mnawezaje maana mie naona its not my cup of coffee at all.
Kwenye utafutaji kweli wanajitahidi, ila huu upande mwingine wanafanya maisha yanakuwa magumu kweli. Huyu wangu kuna wakati namuangaliaaa hata simmalizi, yes he is handsome ila thats all😤😤
Kuulizia ulizia hapa na pale story zikawa ni hizo hizo tu.
Akina Manka sijui wanayawezaje haya.
Ushapata ulichokufata kweri kweri..Habari wadau wa MMU.

Hebu pata mda ujiulize ni kwanini wewe hakufanyii yote unayoyataka? Kuna mwenzako anataka ahamie kwake kabisa kabisa. Probably wewe ni chanzo.Habari wadau wa MMU.
Hivi kuna mtu aliwahi kudate mwanaume wa kichaga akapata its fun being with them?
Niko na huyu mwanaume 2years+ ila amepooza haswaaa, nothing about him is fun. Natafuta tu namana ya kumtoka maana sienjoy kuwa nae.
Kabla yake niliwahi pia kuwa na mwanaume mmoja wa Old Moshi, it was the same. They are not romantic,viburi na hata hawanogi kuwa nao yaani. Hawajachangamka kuanzia sebuleni hadi chumbani wamepooza "kweri kweri".
Nyie mloolewa au mnaodate hawa watu mnawezaje maana mie naona its not my cup of coffee at all.
Kwenye utafutaji kweli wanajitahidi, ila huu upande mwingine wanafanya maisha yanakuwa magumu kweli. Huyu wangu kuna wakati namuangaliaaa hata simmalizi, yes he is handsome ila thats all😤😤
Kuulizia ulizia hapa na pale story zikawa ni hizo hizo tu.
Akina Manka sijui wanayawezaje haya.
Let me tell u something friend... Kumwacha sio solution ya tatizo lako unaeza uende uendako ukakumbuka ulikotoka ...in short no ones perfect ....kila MTU ana weakness zake ...so tell him what u like an what u dislike.... Anaweza kua mtu unaemteka brand your own ...that's allHabari wadau wa MMU.