KingYKimsingi hata ke ukipooza sisi wanaume pia huishiwa mvuto, huenda umepooza pia, lakini ukiwa mjanja waweza kumtengeneza mmro na akawa na mvuto kila wakati.
Ukimkuta mwanamke au mwanaume aliyekamilika huyo sio wako ni wa yule aliyemtengeneza na siku zote ataishi sawa na yule aliyemtengeneza. Tengeneza chako kikufae
Huwa inanipa majibu ya uongo wakati mwingine.Kwani sikukwambia utumie gugo transileti??
Asante kwa hadithi KhantweKuna hadithi nataka nimsimulie
Huwa inanipa majibu ya uongo wakati mwingine.
Mfano side chick wanasema ni vifaranga vya pembeni
Ndiyo, halafu ndiyo ananishauri niamini gugo transileti kweli ?vifaranga vya upande
Asante dear.Usijali mrembo kila nikipata hadithi nitakuwa nakuja kukusimulia
That was dashboard ruction chief... Otherwise we're okay... How are you btw.Hahaahah! Bro naona umemkomalia bi dada, hebu muepushe shetani bhana
Unauza sh ngapi?I see!
Huyu namvumilia tu maana namalizia ujenzi wa nyumba yangu niachane nae maana sidhani if i can spend the rest of my life with someone like this. Nitamchoka mapema sana.
Haijawahi tokea mti usio na matunda ukapigwa mawe πππHaijawahi pita siku bila kuwasema wachaga.
Pole Yao maskini.
Inaonekana chuki kubwa dhidi Yao imeanza kujengeka
Yaani hapa kuwa romantic nafikiri vinazungumziwa vitu mbali mbali
Kumbeba beba ukiwa unampeleka bafuni
Hug za nguvu unapopata nafasi
Maneno matamu ikiwepo sifa sifa kibao
Vizawadi zawadi vya hapa na pale, outing mbili tatu katika mwezi
Love languages muhimu sana
Nb; Tanzania ya viwanda
Nakuona tu hahahahhNou..
Nice, haya ntumie sasaNaanzaje kukataa
Itakuwa walimkera sana janaHapo sasa sijajua kama anakasirikaga au lah.
Ila kwangu Mimi ndiyo nimeona Jana kwa Mara ya kwanza.
Ulijuaje kama ya uongo?? Hivi ulitaka side chick iwe nini?? Muone vileHuwa inanipa majibu ya uongo wakati mwingine.
Mfano side chick wanasema ni vifaranga vya pembeni