Wanaume wa kichaga

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hapo sasa wao wakimwaga ugali sisi tunamwaga mboga na maji ya kunawa kabisa halafu tunalala njaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

We tunafanana vitu vingi, kama mbwai na iwe mbwai tu hakuna kubembelezana wala nini.
 
Ndo mimi nikamwambia kaka nakupenda sana ila kama unanipenda kweli ungenivumilia niache kucheza mziki taratibu kwa sababu na mimi najua nakubore sema ndo siwezi kuacha ghafla tuu.
Akiniona nacheza mziki anachanganyikiwa kabisa.
 
Hahahah yani mziki tu, na Subwoofer nakununulia ile nzuri ucheze nyumbani tu
 
Hivi kumbe mimi sijafanikiwa kukukimbiza bado? Basi ngoja dawa yako iko jikoni inachemka vizuri kabisa nataka ifike pahala kila ukiona comment yangu useme "shikamoo mama" nami niitike "marahaba mwanangu"
Hahahah mie nimeshusha mikono chini, huyu mtoa mada moto wake ni hatari kama mafuta ya ndege[emoji23][emoji23][emoji23]

Wacha nikimbize mbawa zangu nimfate mtani wangu wa jadi Marianah
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

We tunafanana vitu vingi, kama mbwai na iwe mbwai tu hakuna kubembelezana wala nini.
Kubembelezana muhimu, tujishusheni maisha yawe matamu. Tukitaka wote tuwe juu maisha ya mahusiano yatakuwa magumu, at the end wote tunapoteza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…