Wanaume wa kichaga

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shite sha warumu.
"I can't you"
Kuna mipango ya chinichini toka siku nyingi yakutuchafua wanaume wa kichaga..tutaongea na waandishi wa habari siku sii nyingi[emoji23][emoji23].

Ni mda sasa wakupata uongozi wetu humu
 
Mwache akajifunze, hao ndio wanawake ambao hawana priorities in life. Angekuwa nazo angestick na mtu mmoja ambae anaeleweka tu very early, anaonekana mtu wa kujaribu jaribu mahusiano.
 
Kuna mipango ya chinichini toka siku nyingi yakutuchafua wanaume wa kichaga..tutaongea na waandishi wa habari siku sii nyingi[emoji23][emoji23].

Ni mda sasa wakupata uongozi wetu humu
Hahahahahaha msipoongelewa nyie ataongelewa nani sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwache akajifunze, hao ndio wanawake ambao hawana priorities in life. Angekuwa nazo angestick na mtu mmoja ambae anaeleweka tu very early, anaonekana mtu wa kujaribu jaribu mahusiano.
Tatizo ameshaonja kila kona unategemeaje mtu kama huyu kufarahia au kulizika na mahusiano yake...wanawake wajuaji huwa wana tabu sana...na siku ya mwisho upoteza kila kitu
 
I see!
Huyu namvumilia tu maana namalizia ujenzi wa nyumba yangu niachane nae maana sidhani if i can spend the rest of my life with someone like this. Nitamchoka mapema sana.
Hapa ndipo point ilipo, ushamchuna hadi nyumba anamalizia kujenga ndo unamuona hayupo romantic..
Aisee nyie viumbe sijui munataka nini haya chukua na roho yake basi uridhike mama angu... 😢
 
Tatizo ameshaonja kila kona unategemeaje mtu kama huyu kufarahia au kulizika na mahusiano yake...wanawake wajuaji huwa wana tabu sana...na siku ya mwisho upoteza kila kitu
No doubt bro...nimeshuhudia wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…