Messier 31
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 477
- 1,206
Dah, nimecheka sana, yaani kujibizana na watoto raha sana, moja kwa moja unajuwa anachoenda kujibu.Vipi huko facebook ushauza sana eeh hadi unalijua soko lake? Naona sasa umeamua kuuza jf, kwa majibu yako ya kichoko najua tu utajibu nini.
I am sure you didnt mean what I understoodRaha ya mwanaume awe jeuri jeuri walau kidogo
Hakuna alielalamika wala kung'ang'anaMchagga akishapata pesa atachukua mwanamke yoyote kwa jeuri yake ila wewe kama unataka uzungu katafute wazungu kwanini ulalamike huku umeng'ang'ana hapo hapo?
Well viwanda tunajenga na mapenzi yanachukua nafasi yake.
Halafu sijui why nimepanickOhooooo hahaahahahha
Too rough and u gon lose her as wellyaani hajachanga mka kivipi? ukute jamaa ni gentlemen na nice guy wanawake huwa hawawapendi wanaume wa namna hii...njia ya nzuri ya kuwa na mwanamke act, be rough, **** her good, give her money she will be your slave
Nzuri tu, hahahaahahah!Sijambo kiongozi habari ya wewe
HahaahahahahahHaya ndio maneno, atakuwa ana wivu nanyi si bure.
Ubaya ni kuwa licha ya kufanya yote unaweza ukaonekana kolo tu
Wako wa pwani ipi??? Watamsaidia wa pwani halisiWewe wasema!!!! Wa pwani gani hawa mbona wangu mie hayuko namna hii
Mnakuza sana mambo na kufanya mapenzi yaonekane ni mzigo ambao mtu anaubeba kwenda nao kazini. Little things matter the most, hayahitaji kiasi kikubwa cha pesa wala muda mwiiiingi. Unayafanya na bado unafanya mambo mengine kwa nafasi vizuri tu.tatizo unataka mapenzi ya tamthiliya na kuskia kw watu.. ukitaka enjoy hayo tafuta vijana wa kazikaz dar Marioo..
Kwa sababu aliepost ni female hila angekuwa kidume hilo dongosijui kwa nini nimejikuta nacheka kwa nguvu
but you do agree with me that girls like rough guys right?Too rough and u gon lose her as well
Kujibizana na machoko ni kazi sana, vinajichekesha chekesha tu. Umalaya umeumaliza fb umeamia jf sasa.Dah, nimecheka sana, yaani kujibizana na watoto raha sana, moja kwa moja unajuwa anachoenda kujibu.
Wewe kama c mtoto bac ni malaya asiye na akili.
Jibu lako nalijua, nasubiri kuhakikisha
Ni wakimya jamani A)hawako romantic B)wanwaza hela C) ni wachukuliaji nyota na washirikina wanapenda sana kanisa hawakosi ili wapunguze dhambi.Habari wadau wa MMU.
Hivi kuna mtu aliwahi kudate mwanaume wa kichaga akapata its fun being with them?
Niko na huyu mwanaume 2years+ ila amepooza haswaaa, nothing about him is fun. Natafuta tu namana ya kumtoka maana sienjoy kuwa nae.
Kabla yake niliwahi pia kuwa na mwanaume mmoja wa Old Moshi, it was the same. They are not romantic,viburi na hata hawanogi kuwa nao yaani. Hawajachangamka kuanzia sebuleni hadi chumbani wamepooza "kweri kweri".
Nyie mloolewa au mnaodate hawa watu mnawezaje maana mie naona its not my cup of coffee at all.
Kwenye utafutaji kweli wanajitahidi, ila huu upande mwingine wanafanya maisha yanakuwa magumu kweli. Huyu wangu kuna wakati namuangaliaaa hata simmalizi, yes he is handsome ila thats all😤😤
Kuulizia ulizia hapa na pale story zikawa ni hizo hizo tu.
Akina Manka sijui wanayawezaje haya.