Wanaume wa kichaga hawajui mapenzi

Kumbe!! ndoo maana! Utakuwa uliifaidi sana busara za bibi.

Hawa jaamaa ambao hawaishi kutusakama wanajisumbua tu. Awali ni awali. Imetoka hiyo!
Nakwambia ilikua raha kupitiliza.

Hehehehe wanajaribu kukimbiza express train ambayo ilishaondoke stendi nusu saa iliyopita.
 

wanajipa promo wenyewe kwa wenyewe kupima upepo
 

Dah! Umekosea kidogo kwenye utafiti wako labda sample ni chache, najitolea kukuonesha kuwa sio kiiivo..... tunajituma sana eheee...
jaribi X-G
 
Chunguza vizuri huenda akawa anawafurahisha wenzio...
 

Mkuu umepotea njia??? PILI: Haya sio mambo ya DECI???
 
Aiseee, hii sredi imenisaidia kuwafahamu wachaga wa JF. Asprini kumbe hata wewe unakwenda kuhesabiwa mwisho wa mwaka?:lol:
Hahahaha.... kamanda enzi zile napiga mbege namna ile ulifikiri mie mzaramo.... hii mutu ni 100% chaggian tena iko proud kuwa chaggian..... baada ya kusema hayo, hebu njoo huku nikufundishe mkwanja achana na biashara ya ngono bana..... watu wanapiga ngono na sabuni na wanarizika wengine wanashadadia ngono kwa vigezo vya makabila lol
 
Wanawake bwana, they'll always back up their men.
Ndo maana Mariantoni kaenda kulianzisha kule
Kumbe huku walikuwa wamewagusa?????

Afu na nyie wachaga muwatende tena hawa wadada na walivyowatetea humu.
 
Wanawake bwana, they'll always back up their men.
Ndo maana Mariantoni kaenda kulianzisha kule
Kumbe huku walikuwa wamewagusa?????

Afu na nyie wachaga muwatende tena hawa wadada na walivyowatetea humu.

Weeee. . . ulidhani tutawapa mgongo?
 
wote, wanaume na wanawake wa kichagga hovyo kwenye mapenzi
 
Nilivyo na hacra nadhan mtoa mada unaweweza kunipa ban! Kwnini mc2tuache wachagga 2uanze mwaka vizuri jamani? Im fed up coz im having a chagga gal na naenjoy compared to mndengereko mhaya na msambaa nliokua naye!!!
 
Hahahaha...siye twawapa twanga pepeta lol

Hahahah. . . una bahati hua unashiriki kwenye zile zinazotuponda na sisi. Otherwise leo ningewageuka na kuwapa mugongo mugongo. . . .
 
taratibu lizzy watu wanangonoka na mimba ya miezi tisa hadi anaenda leba unategemea azae nini mamii?achana nao

kitu chenye raha ya juu ,watu hukiponda sana mfano Pombe, ngono, sigara , wakati kila mtu lazima awe na kimajawapo , sasa mnaoponda ngono wakati ndiyo kiungo kikuu cha penzi lenu, ingawa mnamanisha nyinyi mnafanya kistarabu na kwa kiasi na pengine mnafanya kwa fujo. Asikwambie mtu bwana unapokumbuka ngono kwa mpenzi wako unamuona mzuri gafla
 


Ha ha haaaa, mi nilikuwa nadhani wewe ni mzaramo wa kisasa, si unajua wakienda shule ''wanavyo-nyodoka''!

Mtaa gani huo tena nitie timu fasta, direction please!
 
Haya makabila WACHAGA, WAHAYA bila watu kuyazungumzia hawaoni raha aiseee...naona sasa hivi pia wameanza kwa Wasukuma pia..
Umesahau na wakwere....tatizo mkwer.e anazungumziwa mmoja tu, hawawajenerolaizi kama wachagga na wahaya (na wasukuma nao wanakaribia kuingia kundini)
 

Hii reaserch umeifanyia wapi mamito? Sampo size yako ina "papii" wangapi? Mimi ni mchaga na ninakanusha hii habari kwa sababu huwezi ku GENERALIZE.
 
Ha ha haaaa, mi nilikuwa nadhani wewe ni mzaramo wa kisasa, si unajua wakienda shule ''wanavyo-nyodoka''!

Mtaa gani huo tena nitie timu fasta, direction please!
Nenda kaedit fasta kabla marehemu babu yangu hajaisoma hii posti yako...... hapa bandani napoishi nimeotesha "isale" kabisa ili nisije nikabatizwa kabila jipya.... BTW pole kwa msiba wa mpiganaji wetu.... bado kama namuona vile. kila wakati nachkua simu nikitaka nimpigie ili nione kama ataitika lakini nasita.....
 
Umetembea na wachagga wangapi maishani mwako?
 
Siyo kweli kwamba wachagga hawajui mapenzi, kwa upande mwingine,despite the fact that you cant be good at everything, mleta hoja unasema eti hawajui kutongoza,kwa hiyo huwa wanafanyaje wakitongoza? na eti kuwa wanawake wa wachagga wana wanaume wa pembeni wa kuwaridhisha kimapenzi? Hilo sidhani kama ni tatizo la wachagga peke yake.

Nakuomba ufanye utafiti wako tena kwasababu nadhani hii ni stereotype tu, missunderstanding other tribes.

Na hao wanaume wa pembeni wanaofuatwa wa kukuridhisha kimapenzi ni wa makabila gani?

Pia hujawa specific, ongezea nyama kwenye hoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…