wanaume wa kiafrika bana....

noo nitaolewa,sema sio na muafrica,cha kushangaza huu mfumo dume ni kwa waafrica,yaani nikufulie nikunyooshee na mwanangu atamfulia nani nyoo...get lost.:majani7:

Nenda hapa www.uturn.com kuna dalali wa kuwatafutia wanawake wanaume wazungu
 
Inawezekana uliyekutana naye alikuona you are not good at bed work kwani maelezo yako yanaonyesha kuwa wewe ni mvivu uliyelegea legea na kazi yako ni kunukia zaidi. Kwakweli unahitaji uolewe na yule ambaye kwake anachohitaji kwa mwanamke ni ulembo tu hata kama ni mvivu ktk kika kitu.

lazima uwe umeshupaa shupaa hivi ndio wanataka kukuoa....ukiwa umelegea legea ngozi nyororo unanukia vizuri ndoa utaisikia kwa jirani,yanataka mtu wa kuwafulia,kuwanyooshea nguo na kuwa pikia :der::der::der::der::der::der::happy:
 
noo nitaolewa,sema sio na muafrica,cha kushangaza huu mfumo dume ni kwa waafrica,yaani nikufulie nikunyooshee na mwanangu atamfulia nani nyoo...get lost.:majani7:

kwani wewe umelelew na wazazi au umekulia orphanage centre?wasnt ua mother doin these thing 2 your father?huu ***** wa kutaka kutengeneza mfumo wako hautakusaidia utakupa stress tu,kaolewe na hao wazungu wakuzadhalilishe watakavyo na ukilemaaa tu watakupigia 0718,ulale na pensi
 
hebu mi nimtandikie kitanda mwanaume wangu wa kiafrika!nyie bishaneni wee!mkishamallioza wanawake wakiafrika tutakuwa tushapewa haki zetu za kimsingi na bonus juu!nyie wakti huo mtakimbilia kwenye mito!
USIKU MWEMA KWA WANAWAKE NA WANAUME WA KIAFRIKA WOOTE!
na anayejivunia nafasi yake ya kiafrika!

Asenti. Duh, mwaka huu mianaume miafrika tunalo. Kina mama washajithaminisha sema thamani yao imezidi sabuni. Ni gari, nyumba, computer shopping (sijui ndo mdudu gani huyu), etc etc.
Namwambia bibi asinilazimishe kuoa tena maana mianamuke miafrica inatafuta wadhungu!
 
halafu nahisi wewe ni natalia..:becky::becky::becky::glasses-nerdy:

Ha ha haaa haaaaa! Mbona mie ndio nikuwa nahisi wewe imaney ni Natalia? Umeniwahi tu kusema. Mimi na Natalia ni watu wawili tofauti sana! Yaani ni kama mbingu na nchi!
 
Last edited by a moderator:
Ha ha haaa haaaaa! Mbona mie ndio nikuwa nahisi wewe imaney ni Natalia? Umeniwahi tu kusema. Mimi na Natalia ni watu wawili tofauti sana! Yaani ni kama mbingu na nchi!

Kuna uzi kauanzisha anataka Wanaume wa Kiafrica tumwambie awafanyaje wazungu ili awa turn on.
 
Angalia tu usije kuwa wewe mwenyewe ndio una matatizo!Kuwa nyororo sio tatizo la kuna vijitabia ulivyonavyo ambavyo vimemkera uliye nae.Sifa ya kuwa mke ni vitu vingi sana na sio urembo tu!
 
ni wachache sana wanapenda kujiweka smart,wengi wanadhani kuwa rough na kunukia kibeberu beberu ndio UANAUME.... :der::der::der::happy:
 
Kaolewe na mzungu uone kero yake.....kweni kuwa nyororo ndio inamaanisha unashindwa kufanya majukumu yako kama mke? mie sioni tatizo lipo wapi....gadgets kibao siku hizi washing mashine, rice cooker, dishwasher sii ununue tuu na bwana wa kiafrika bado atakupenda tuu....usilete sababu ambazo hazina msingi

Haaaaaaaaa - basi baadhi yao wakiona hizo gadgets ......... wengine walivyo washamba .......... WATAKUITA WA HALI YA JUU .. na kukimbia mbio ........... ONGEZEA NA BREAD MAKER, FRIDGE, COOKER, PASI ........ eti wanataka waone pasi ya mkaa, jiko la mkaaaa - mabeseni na mandoo unayofulia ..........

WAPO KWELI ......... INGAWA SO WOTE ..... just sharing
 
Kuna uzi kauanzisha anataka Wanaume wa Kiafrica tumwambie awafanyaje wazungu ili awa turn on.

Kweli wazungu wamempagawisha! Anataka awe nao wangapi? Si anae wake tayari? Ngoja nitautafuta.
 
dah may be huyo uliye nae au umekutana na mwanaume katoka bandarini kubeba mzigo au katika tandale kubeba gunia za mazao mle au konda wa daladala anahangaika na abiria toka asubuhi
na Hakuna kitu kama hicho bana eti kuwa mchafu ndo uanaume Preta hebu njoo huku useme
Maana naona mmetuandama sana wanaume wengine hawafui boxer wengine sijui sox wengine sijui nini dah
 
Last edited by a moderator:
Asenti. Duh, mwaka huu mianaume miafrika tunalo. Kina mama washajithaminisha sema thamani yao imezidi sabuni. Ni gari, nyumba, computer shopping (sijui ndo mdudu gani huyu), etc etc.
Namwambia bibi asinilazimishe kuoa tena maana mianamuke miafrica inatafuta wadhungu!

wasikutishe kabisa hao, kuna wadada kibao watiifu/wema/wanaofaa kuoleka, na wala bibi asikulazimishe kuoa mana utakumbana na hii sample. gold digger,mengineyo humu yapotezee kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom