Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,671
- 11,338
kwa mujibu wa mfumo dume...sasa kama wewe unataka kuupinga usipige kelele kuhusu kuolewa. tulizana ukiwa single....the choice u make the price u pay.
Hao wenyewe tunaowaita wanaharakati wengine wakiwa na wanaume zao wanaongea kwa unyenyekevu utasema si wale waliokuwa wanaongea kwa ushajaa na kuwahamasisha wanawake wenzao