wanaume wa kiafrika bana....

wanaume wa kiafrika bana....

DADA WE MVIVU INAONESHA ATA MAvuzi na vikwapa vyako unyoagi

lazima uwe umeshupaa shupaa hivi ndio wanataka kukuoa....ukiwa umelegea legea ngozi nyororo unanukia vizuri ndoa utaisikia kwa jirani,yanataka mtu wa kuwafulia,kuwanyooshea nguo na kuwa pikia :der::der::der::der::der::der::happy:
 
Wanaume wa kiafrika wako abusive na controlling wanajulikana dunia nzima.inaitaji moyo kuwa na mwanaume wa kuafrika .Very hard looking I can't stand them

mhm...sawa bwana nyie kuweni na wadhungu...its a personal choice so no worries
 
Wananiacha hoi wanapotaka kuoa hawana nyumba .huna nyumba Huna pesa uwanja wa ndoa haukuhusu

Hehehe, yashakua haya tena, ama kweli ukistaajabu ya mussa utataona ya natalia!
 
lazima uwe umeshupaa shupaa hivi ndio wanataka kukuoa....ukiwa umelegea legea ngozi nyororo unanukia vizuri ndoa utaisikia kwa jirani,yanataka mtu wa kuwafulia,kuwanyooshea nguo na kuwa pikia :der::der::der::der::der::der::happy:
Wanawake mna shida sana kwa kweli yaani kwenu nyie hamna jema hata siku moja! Sasa wewe una uhakika gani ni wanaume wa kiafrika wenye tabia hiyo uliyoitaja tu? Ushaenda kwa wahindi, wachina, wazungu, America n.k ndo ukaja kugundua kuwa ni waafrika pekee? Nani kawambia mtu mwenye ngozi nyororo anayenukia hafui, wala kunyoosha nguo,wala kupika? Dadangu let me tell you hayo ni majukumu ambayo hayakwepeki kama unataka kupendeza na kunukia lazima utanyoosha nguo, kama unapenda kuwa mwenye afya lazima utapika, hapa nafikiri hukujaribu kutumia ubongo wako kufikiri bali umeongozwa na hasira kuandika hii thread......
Wanaume tunapenda wake zetu wapendeze tena wakati mwningine tunawapeleka saloon, tunawafanyia shopping, akitaka kununua nguo anakuomba umshauri unamshauri....lakini hili unalosema haliniingi akilini kabisa.
hv nani kakwambia eti nitatoka na mke wangu awe kafubaa au washkaji zangu waje nyumbani wamkute mke wangu kafubaa afu ana harufu ya kibeberu?
Tena kama una character hizo za kufubaa na kunuka kibeberu mumeo hatakuambia atawatafuta wenye viwango vyao nje
 
lazima uwe umeshupaa shupaa hivi ndio wanataka kukuoa....ukiwa umelegea legea ngozi nyororo unanukia vizuri ndoa utaisikia kwa jirani,yanataka mtu wa kuwafulia,kuwanyooshea nguo na kuwa pikia :der::der::der::der::der::der::happy:

Ila ukweli usemwe jamani..baadhi yenu mmezidisha maigizo..watu mnaoana mna 25-27 ndo mmeanza maisha halafu hutaki kuchafua mikono kupika wataka mwende chinese restaurant kila jioni..mtaendelea kweli??..asikandamizwe mtu ila usista doo na ublonzo kwa kiasi..mos mos
 
Kaolewe na mzungu, siku akikuambia ku-mow lawn na ku-shovel snow sijui utarudi kwa akina Kunta Kinte!.
 
Wananiacha hoi wanapotaka kuoa hawana nyumba .huna nyumba Huna pesa uwanja wa ndoa haukuhusu

Kwa hiyo wewe thamani yako ni nyumba na fedha.. Are you cheap to that extent? mi nilidhani usawa mnaoutafuta ni kila kona hii sasa imekaaje? mm hakuna bidhaa ya kunilinganisha nayo hapa duniani! kumbe wewe unathaminishwa kwa pesa or Nyumba?
 
hebu mi nimtandikie kitanda mwanaume wangu wa kiafrika!nyie bishaneni wee!mkishamallioza wanawake wakiafrika tutakuwa tushapewa haki zetu za kimsingi na bonus juu!nyie wakti huo mtakimbilia kwenye mito!
USIKU MWEMA KWA WANAWAKE NA WANAUME WA KIAFRIKA WOOTE!
na anayejivunia nafasi yake ya kiafrika!
 
Aheri hao wa kiafrika wenzetu bara hindi wanawake ndo wanaotoa mahari, Marekani hua wanachangia nusu ya pato la familia
 
Pole sana kwakukutana na wanaume wa namna hiyo

lazima uwe umeshupaa shupaa hivi ndio wanataka kukuoa....ukiwa umelegea legea ngozi nyororo unanukia vizuri ndoa utaisikia kwa jirani,yanataka mtu wa kuwafulia,kuwanyooshea nguo na kuwa pikia :der::der::der::der::der::der::happy:
 
mnanifurahisha sana mjue.....:smiling::smiling::smiling::smiling::A S 100::madgrin:
 
aisee huyo dada asilete utani,si wanaume wote,nambona baadhi yawakina dada wengine hasa waliopitapita shule husumbua sana but hatuwacombine kuwa niwote wenye tatizo hilo.
 
lazima uwe umeshupaa shupaa hivi ndio wanataka kukuoa....ukiwa umelegea legea ngozi nyororo unanukia vizuri ndoa utaisikia kwa jirani,yanataka mtu wa kuwafulia,kuwanyooshea nguo na kuwa pikia :der::der::der::der::der::der::happy:
mwanzo umesema utushike wapi ili ujue tunaweza haya tushike hukju mradi usilie tu utakapoanza kuwaga mithili mtu kafungulia koki ya DAWASCO
 
hebu mi nimtandikie kitanda mwanaume wangu wa kiafrika!nyie bishaneni wee!mkishamallioza wanawake wakiafrika tutakuwa tushapewa haki zetu za kimsingi na bonus juu!nyie wakti huo mtakimbilia kwenye mito!
USIKU MWEMA KWA WANAWAKE NA WANAUME WA KIAFRIKA WOOTE!
na anayejivunia nafasi yake ya kiafrika!

:israel::A S-baby:
 
Daaaaah Muke ya Muzungu, mutoto ya fisadi! Kwa hiyo bila nyumba hakuna ndoa

Wananiacha hoi wanapotaka kuoa hawana nyumba .huna nyumba Huna pesa uwanja wa ndoa haukuhusu
 
hebu mi nimtandikie kitanda mwanaume wangu wa kiafrika!nyie bishaneni wee!mkishamallioza wanawake wakiafrika tutakuwa tushapewa haki zetu za kimsingi na bonus juu!nyie wakti huo mtakimbilia kwenye mito!
USIKU MWEMA KWA WANAWAKE NA WANAUME WA KIAFRIKA WOOTE!
na anayejivunia nafasi yake ya kiafrika!
Wakitoka hapo wanakula kona kutafuta kitu "Mpingo". Chezeiya bantu wewe!.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom