wanaume wa kiafrika bana....

wanaume wa kiafrika bana....

Kwa hiyo wewe thamani yako ni nyumba na fedha.. Are you cheap to that extent? mi nilidhani usawa mnaoutafuta ni kila kona hii sasa imekaaje? mm hakuna bidhaa ya kunilinganisha nayo hapa duniani! kumbe wewe unathaminishwa kwa pesa or Nyumba?
Penzi pesa na nyumba ya fahari.huna hivyo usijiite mume Jiite deadbeat
 
Wana wakiafrica wanahitaji moyo jamani duh .yaani ningekufa na ugonjwa wa moyo

hahaha haya bwana....wadhungu kweli wamekudatisha. ila ukweli ni kwamba atleast wenzetu wanakuwaga wakweli. ila mie bana maisha ya maigizo siwezi...mara sijui kupigana denda public place, mara sijui kuzama chumvini oh kumbeba mkiwa shopping mall...yahitaji mazoea
 
wanakufurahisha eeh? na bado!!!!!! nmewasoma mnavolonga huku Ciello Natalia you etc y'all are very courageous kwa keyboard zenu
:typing:, that's good, sasa let me tell u one thing fe male, that's how it was that's how it is and that's how it'll be, hate it love it, you are a woman(woe man) ,don't hate the player hate the game babes. :A S kiss: :A S 11: i LoVe WoMeN tHoUgH, sO iN lOvE :love:
 
funga ndoa na maghorofa ya kariakoo bas, maana ww shida yako majumba na mahela
Kariakoo ni vicheche hizo ni nyumba.sijawahi Kufika kariakoo nikija bongo vacation mfanyakazi Anaenda.zamani Sana nilikuwa naenda kinondoni TX Enzi hizo .
 
ndoa imeingia mitini?
King Julian King'asti, njoo uokoe roho inayotaka kuacha mwili hapa.

yaani hiyo king julian imenifanya niangue kicheko!
usinione mdomo hapa jf, Paw nampikia, namtandikia kitanda, namfulia hadi teitei na hanjifu, namsugua mgongo na miguu. Shauri yao vijana, hawajashtukia kuwa ndoa ni Plan C mjini (plan b ni ile ya lara1 ya kuiba safe zimazima kama kwenye the italian job)
 
Last edited by a moderator:
Kariakoo ni vicheche hizo ni nyumba.sijawahi Kufika kariakoo nikija bongo vacation mfanyakazi Anaenda.zamani Sana nilikuwa naenda kinondoni TX Enzi hizo .

siku hizi kuna uchumi supermarket, shoprite na tsn mama. Hadi bamia na giligilani unapata. Huhitaji mfanyakazi akakuletee shombo la kariakoo. Waambie fweza kipimo cha utu, sio kazi tenaaa! Wasikuletee misemo ya nyerere hapa.
 
Bila jumba la dhamani na bila fedha sina Muda.mwanaume pesa huna pesa unaliwa tigo

ila tigo unaipenda shosti!mh
akili zako wewe ka maji ya madafu walahi mchana ya baridi asubuhi ya vuguvugu!
 
yaani hiyo king julian imenifanya niangue kicheko!
usinione mdomo hapa jf, Paw nampikia, namtandikia kitanda, namfulia hadi teitei na hanjifu, namsugua mgongo na miguu. Shauri yao vijana, hawajashtukia kuwa ndoa ni Plan C mjini (plan b ni ile ya lara1 ya kuiba safe zimazima kama kwenye the italian job)

umeona enhe!
kwa raha zetu!kwanza toka sa zile nimeamka nilishajipatia morning grlory yangu safi,sa hizi nimetoka kupika uji wa ulezi,mwanaume wangu wa kiafrika akiamka anaukuta unamsubiri mie ofisini na skin blushes kwa wiiingi!ah
mambo mengine kujaitambua tu YANATUNYOKEA MFANO HAKUNA!
 
kwani uongo??? mtu akiwa mrembo anajipenda,huwaga hamuweki long term plans mnataka hit and run na wengine mahandsome ya mjini yameoa kijijini ili yatanue watakavyo mjini bila kuulizwa lol:becky::becky::becky:

ni PM kama upo single,nitakufanyia hivyo vyote kupika,kufua,e.tc,kazi utakayo kuwa nayo ni kupata guud tym.mtafutaji si nipo kwa ajili yako mamii...lol,
 
She is also Natalia type and Gaijin type poleni sana tafuteni wazungu tu nyie muishie kuliwa 0712... mkienda kuzaa muishie kunya sio kusukuma watoto heiheiheihhahahahahahahahha
 
Last edited by a moderator:
wanawake wazuri wazuri wameolewa yamebaki manungayembe yanahangaikaaa #NaimbaTu
 
He he he he, mie unasugua mtu hana hata nyumba??? Isitoshe na kujidai kote mmepanga

Mwenzio nimehamia airtel kwa wazungu, sitaki kukomazwa mie

yaani hiyo king julian imenifanya niangue kicheko!
usinione mdomo hapa jf, Paw nampikia, namtandikia kitanda, namfulia hadi teitei na hanjifu, namsugua mgongo na miguu. Shauri yao vijana, hawajashtukia kuwa ndoa ni Plan C mjini (plan b ni ile ya lara1 ya kuiba safe zimazima kama kwenye the italian job)
 
kumfulia mume nguo,kumpikia etc ni majukumu ya mke kwa mujibu wa NANI....katiba ipi?

na ukianza kutaja majukumu ya baba hapa utatolewa macho, yaani wenyewe wanataka uwe kijakaz wao na bado pesa yako aitolee macho,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom