by default
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 839
- 215
wewe utabaki kuwa K natutaendelea kukufanya kilalio pelekea u pum bavu walio kesha kukuleta dunian,nah nah bila shaka mimba yako ilipatikana kwa short timelyanataka
wewe utabaki kuwa K natutaendelea kukufanya kilalio pelekea u pum bavu walio kesha kukuleta dunian,nah nah bila shaka mimba yako ilipatikana kwa short timelyanataka
Weeeh ntake radh bado cjayaanza hayo maisha ya stress...dunia yangu furaha yangu
dah may be huyo uliye nae au umekutana na mwanaume katoka bandarini kubeba mzigo au katika tandale kubeba gunia za mazao mle au konda wa daladala anahangaika na abiria toka asubuhi
na Hakuna kitu kama hicho bana eti kuwa mchafu ndo uanaume Preta hebu njoo huku useme
Maana naona mmetuandama sana wanaume wengine hawafui boxer wengine sijui sox wengine sijui nini dah
Na wakiambiwa wanakuwa wakali utadhani mabeberu......
hahahahahah wanataka kuoa wakati hawana nyumba sijui mke watamweka wapi?? uswazi kwenye chumba kimoja cha kupanga....waambie nata wamezidi hao...
good kama umekaa kny ndoa,sema namuonea huruma mkeo.....sikatai kuna majukumu....ila hili la kusema ni kazi za mama/mwanamke ndilo nalolipinga.....majukumu yawe shared babu tusizeeshane....nachoka mapema kwa kunitumikisha halafu unaenda kutafuta nyumba ndogo nyooo:confused2:
noo nitaolewa,sema sio na muafrica,cha kushangaza huu mfumo dume ni kwa waafrica,yaani nikufulie nikunyooshee na mwanangu atamfulia nani nyoo...get lost.:majani7:
lazima uwe umeshupaa shupaa hivi ndio wanataka kukuoa....ukiwa umelegea legea ngozi nyororo unanukia vizuri ndoa utaisikia kwa jirani,yanataka mtu wa kuwafulia,kuwanyooshea nguo na kuwa pikia :der::der::der::der::der::der::happy:
Haaaa Mwaj, kwa maisha na elimu ya TZ siyo rahisi kwa mwanaume aoe tayari ana nyumba kama ukitaka wa hivyo utamkuta kwenye 40's
kwa historia ilivyo ina maana na mzee N nae alikuwa analiwa tigo au?
My hubby is wealth .wanaume wasio na pesa Za nyumba inabidi waliwe tigo
lazima uwe umeshupaa shupaa hivi ndio wanataka kukuoa....ukiwa umelegea legea ngozi nyororo unanukia vizuri ndoa utaisikia kwa jirani,yanataka mtu wa kuwafulia,kuwanyooshea nguo na kuwa pikia :der::der::der::der::der::der::happy:
wasikutishe kabisa hao, kuna wadada kibao watiifu/wema/wanaofaa kuoleka, na wala bibi asikulazimishe kuoa mana utakumbana na hii sample. gold digger,mengineyo humu yapotezee kabisa.
wanawake wengine bana, tunajiabishaga hivi hivi, hivi kwani kupika au kufua ni dhambi?
kila siku kula chakula kilichopikwa na house girl wewe kama mwanamke unajisikiaje?
hivi hata usafi wa chumba chako pia atafanya house girl?
kuna vitu vingine sio lazima uolewe ndio uvifanye, hata ukiwa single au ukiwa kwenu unatakiwa uvifanye..huo ndio uanamke wenyewe..
tuache uvivu wanawake.. tumezidi..
najua wote tunakwenda kazini na tunachoka, ni sawa kabisa..lakini kuna siku za mapumziko km week end unafanya mara moja moja sio mbaya..
kuna wanawake wengine kuanzia mwaka unaanza mpaka unaisha hajawahi kuingia jikoni, kwa kweli ni aibu..