Wanaume wa JF mna shida gani?

Wanaume wa JF mna shida gani?

😅😅😀😀
 
Mtu akisoma nyuzi zako tu atajua ww ni mtu wa kuhangahika na wanaume.

Nyuzi ya kwanza ulidate na mtu miaka 6 nyuzi ya pili mwanaume wa kichaga sijui umedate nae miaka 2+

Unapoandika uzi humu ujue utabaki tu na watu watatumia kama reference siku ukiwehuka namna hii..

Hao wanaume wote waliokukaza miaka kibao hawakuwa wa JF sasa naona umehamishia matatizo yako humu kama hukubaliki huko barabarani ujue hata humu watu watakutomba na kuishiaView attachment 1185528
Ongeza sauti huku nyuma hatujaskia
 
Kwa nini ume generalize wanaume wote binti?
Ujue kila pahala pana njema na mbovu na huu ni mfumo wa kidunia ambao hauwezi kuubadili.

Ndiyo maana kuna usiku na mchana, mashariki na kinyume chake magharibi na mambo mengine yenye kufanana na hayo.
Kwa hiyo vyote hivyo vipo duniani kwa maana maalumu ya Mungu mwenyewe.

Hivyo unashauriwa kufuata jambo unaloliona linakufaa katika mustakabali wako na kuyaacha yasiyokufaa kimyakimya.

Uzi wako huu ulitakiwa um time mwanaume uliyemuona na huo udhaifu ndiyo umumwagie huo upupu wa kishenzi, ungelimfaa.

Lakini kwa watu tusiokuwa na makuu kwa watu wengine, tunaona kama umetutukana tusi halisi la nguoni.

Inaonekana wewe mwenyewe haujalelewa vyema na wazazi wako ama wewe ni mtoto wa mtaani usiye na malezi yoyote yenye maadili.

Katafakari upya kama ku generalize wanume wote kwa mapungufu ya baadhi ni ustaarabu.
 
ID fekero....avatar fekero kisha unaongelea matusi tena yanayotoka kwa wanaume kupitia media,we'ni kidenya sana.Kwanza go brush your teeth kisha urejee vema.Ni mimi mdogo wako Njokiledoni.
Inadhihirisha anayoyasema binti mrembo Uvelia ni ya kweli!?
 
Pole! Kuna vivulana vya face book vimevamia huku. Ila wanaume bado tupo. JF inazidi kupoteza sifa za uwepo wake imekuwa sio jukwaa huru. Ukiongea wasiyoyapenda wanakushambulia sio kwa hoja Bali matusi. Kuna haja yakutafuta mbadala wa JF. Kwa Sasa "linakuwa jukwaa la mambumbumbu sio tena jukwaa la wenye mawazo mbadala na jengefu"
 
Ali
Kwa nini ume generalize wanaume wote binti?
Ujue kila pahala pana njema na mbovu na huu ni mfumo wa kidunia ambao hauwezi kuubadili.

Ndiyo maana kuna usiku na mchana, mashariki na kinyume chake magharibi na mambo mengine yenye kufanana na hayo.
Kwa hiyo vyote hivyo vipo duniani kwa maana maalumu ya Mungu mwenyewe.

Hivyo unashauriwa kufuata jambo unaloliona linakufaa katika mustakabali wako na kuyaacha yasiyokufaa kimyakimya.

Uzi wako huu ulitakiwa um time mwanaume uliyemuona na huo udhaifu ndiyo umumwagie huo upupu wa kishenzi, ungelimfaa.

Lakini kwa watu tusiokuwa na makuu kwa watu wengine, tunaona kama umetutukana tusi halisi la nguoni.

Inaonekana wewe mwenyewe haujalelewa vyema na wazazi wako ama wewe ni mtoto wa mtaani usiye na malezi yoyote yenye maadili.

Katafakari upya kama ku generalize wanume wote kwa mapungufu ya baadhi ni ustaarabu.
Alicho sema ni lugha mbovu kwenye kujadili sio kupingana mawazo
 
ulingana na level yao ya thinking
Mkuu Jifunze kuandika kutumia Lugha moja!

wachache atlest ukisoma
Mkuu unasema wanaume wa JF sisi tuna elimu ndogo, ni kweli maana binafsi nimeishia la tano, lakini je wewe mwenye elimu kubwa umeandika nini? 'Atlest" ni nini? huko shule mnafundishwa ujinga? kama nyie wasomi mnaandika hivi je sisi ambao sio wasomi tutajutia kutokuwa wasomi?

Khan!
 
Nimekuwa mfuatiliaji wa huu mtandao not so long, mwanzoni sikuweza kujiunga kwasababu sikujua namna ya kufanya hivyo. Baadae nikikutana na mtu ambae pia ni mtumiaji wa huu mtandao ndio akanipa ABC's za namna ya kujiunga.

Nilikuwa naiona kwenye suggestions ninapogoogle jambo, nikavutiwa nao sana. Ila nikajikuta nakuwa msomaji tu na nilitamani sana kuwa mmoja wa members humu. Hatimae nikafanikiwa.
Nilijiunga na nikaendelea kuwa msomaji tu hadi hapo nilipoamua kuwa mchangiaji pia. Ila nilivutiwa sana na jukwaa la MMU na CC.

Kwa muda wote nimekuwa nikishindwa kuwaelewa members wa kiume wa humu ndani. Ni wako na tatizo gani? Ni malezi mabovu,stress,kukata tamaa,elimu duni(nieleweke sio ya darasani tu) au tatizo ni nini haswa?

Wengi wao sio wastaarabu kabisa, mtu aweza kuleta mada yake badala wachangie kwa hoja wao ni matusi tu na hii ni hata jukwaa la siasa ambapo ningetegemea kuwakuta wenye weledi na hoja madhubuti kama ilivyo sifa ya mtandao huu(home of great thinkers)
Kuna siku nilileta uzi nikashambuliwa sana kwa matusi, nasikitika niliwajibu kulingana na level yao ya thinking ila i was not proud of it at all.

Hivi nyie binadamu wenye kuitwa wanaume haswa wa humu ni kwasababu gani hamna maadili na hamjielewi?
Hii inatupatia picha wazazi watarajiwa kuwa makini sana na watu tunaotaka wawe baba wa watoto wetu, hivi kama baba wa familia anakosa maadili na upeo namna hii ataiongoza vipi familia yake?

Kuna wakati nikiona mwanaume ana app ya jf kwa simu yake namtafakari sana, namchukulia kitofauti kidogo. Nashukuru mdogo wangu sio member humu.
Wapo wachache atlest ukisoma unafarijika kuona kuwa angalau bado tuna akina baba bora kwenye jamii zetu. Tambueni nyie ni wachache kwa idadi duniani, kwahiyo mnapaswa mjitafakari sana je mnastahili kuitwa wanaume au ni viumbe wenye uume tu?

Kuitwa mwanaume tayari ni jukumu, hivyo tangu ukiwa mdogo unapaswa kukuzwa hivyo. Sasa kama mlipitia malezi mabovu kutoka kwa wazazi its about time dunia iwafunze.
Acheni kujisifia mambo ya kipumbavu, mna jukumu kubwa sana hapa duniani, kumbukeni mlipoteleza kisha mchukue hatua.

Ipeni JF heshima yake kama ilivyo kauli mbiu yake.
''hii inatupa picha wazazi watarajiwa kuwa makinisana na watu tunaotaka wawe baba wa watoto wetu'' wewe kama baba wa mtoto wako kama imeandikwa atakuwa mpumbavu ni mpumbavu tuu na wala usidhani wanawake wenzio ambao wamezaa na wanaume unaohisi walikosea unajidanganya na wao walikuwa kama wewe hivi hivi?? kitu kingine kinacholeta mambo kama hayo ni kuchagamsha jukwaa na wala sio real life ni kama instagram mtu ana azima gari kupigia picha.... tatu,,mtu analeta uzi anataka ushauri eti anasema nataka nimgegede ''mama mkwe' au ninataka kuzaa na mme wa mtu ila anahisi eti anamchezea ''halafu uanataka tumchekee lugha ngumu sometimes inafundisha afu inaonekana hujapita jeshini maana lugha ni hii na unatoka na adabu moja ya kufa mtu....bitch please
 
Hivi wewe unapokuwa faragha na mumeo huwa act the same way mkiwa mbele ya watoto wenu au watu wengine.


Always people act according to the environment and situation.

Usimuone Zero IQ ana stori nyingi za migegedo ukadhani kwenye kiwanda chake cha kuchakata chips pia ana hizo hizo stori, never.

Mbona unaonekana una IQ kubwa lkn fact ndogondogo kama hizi unashindwa kuzing'amua?
Kweli kabisa mkuu
 
Bidadaa, humu ndan usiuumize kichwa sanaaa.

Mimi na ID kibao.

Saa ingine ID moja naigiza Jeuri jeuriiii.


ID ingine nakua bonge la Mume mwema.

Hata ivo Sijaoa, MD sijaajiliwa serikalini, nmeajiliwa Hosp Binafsi hapa Bongo

Umri wangu hata sijafika 30

Nina kakitambi fulan ivi kakijinga

Mweusi kama Lamiii

Vimacho.vidogoooo



Karibu tuyajenge Lavu
nimecheka kisela hapo kwenye "lavu"
 
Back
Top Bottom