Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,077
- 464,004
Abeeehshunie.........
Abeeehshunie.........
Have seen this word in here several times, hivi huwa mnamaanisha nini?





Ulicho kisem kina ukwel ndan ykeNimekuwa mfuatiliaji wa huu mtandao not so long, mwanzoni sikuweza kujiunga kwasababu sikujua namna ya kufanya hivyo. Baadae nikikutana na mtu ambae pia ni mtumiaji wa huu mtandao ndio akanipa ABC's za namna ya kujiunga.
Nilikuwa naiona kwenye suggestions ninapogoogle jambo, nikavutiwa nao sana. Ila nikajikuta nakuwa msomaji tu na nilitamani sana kuwa mmoja wa members humu. Hatimae nikafanikiwa.
Nilijiunga na nikaendelea kuwa msomaji tu hadi hapo nilipoamua kuwa mchangiaji pia. Ila nilivutiwa sana na jukwaa la MMU na CC.
Kwa muda wote nimekuwa nikishindwa kuwaelewa members wa kiume wa humu ndani. Ni wako na tatizo gani? Ni malezi mabovu,stress,kukata tamaa,elimu duni(nieleweke sio ya darasani tu) au tatizo ni nini haswa?
Wengi wao sio wastaarabu kabisa, mtu aweza kuleta mada yake badala wachangie kwa hoja wao ni matusi tu na hii ni hata jukwaa la siasa ambapo ningetegemea kuwakuta wenye weledi na hoja madhubuti kama ilivyo sifa ya mtandao huu(home of great thinkers)
Kuna siku nilileta uzi nikashambuliwa sana kwa matusi, nasikitika niliwajibu kulingana na level yao ya thinking ila i was not proud of it at all.
Hivi nyie binadamu wenye kuitwa wanaume haswa wa humu ni kwasababu gani hamna maadili na hamjielewi?
Hii inatupatia picha wazazi watarajiwa kuwa makini sana na watu tunaotaka wawe baba wa watoto wetu, hivi kama baba wa familia anakosa maadili na upeo namna hii ataiongoza vipi familia yake?
Kuna wakati nikiona mwanaume ana app ya jf kwa simu yake namtafakari sana, namchukulia kitofauti kidogo. Nashukuru mdogo wangu sio member humu.
Wapo wachache atlest ukisoma unafarijika kuona kuwa angalau bado tuna akina baba bora kwenye jamii zetu. Tambueni nyie ni wachache kwa idadi duniani, kwahiyo mnapaswa mjitafakari sana je mnastahili kuitwa wanaume au ni viumbe wenye uume tu?
Kuitwa mwanaume tayari ni jukumu, hivyo tangu ukiwa mdogo unapaswa kukuzwa hivyo. Sasa kama mlipitia malezi mabovu kutoka kwa wazazi its about time dunia iwafunze.
Acheni kujisifia mambo ya kipumbavu, mna jukumu kubwa sana hapa duniani, kumbukeni mlipoteleza kisha mchukue hatua.
Ipeni JF heshima yake kama ilivyo kauli mbiu yake.
Hii comment inatoa majibu mengi sana kwa wanaojielewa lakini.
Hii comment inatoa majibu mengi sana kwa wanaojielewa lakini.
Hii comment inatoa majibu mengi sana kwa wanaojielewa lakini.
Mtu akisoma nyuzi zako tu atajua ww ni mtu wa kuhangahika na wanaume.Hii comment inatoa majibu mengi sana kwa wanaojielewa lakini.
HahahahaMi najua unatafuta ndoa hasa ule msitari wako ulioandika "wanaume mko wachache"
ninachokushauri usiwe jazba tuliza mpododo wanaume tupo na tutajiongeza tu.



![]()
I don’t wanna marry him, what should I do?
Nilianzisha mahusiano na huyu mwanaume miaka miwili na nusu ilopita. Baada ya miezi 6 ya mahusiano nilishtuka kajihamishia kwangu. Sikuweza kumfukuza i just decided to play along though sikupendezwa. Akachukua majukumu ya kulipia rent na matumizi mengine ya ndani. Kuhusu mambo ya matumizi yuko...www.jamiiforums.com
![]()
Wanaume wa kichaga
Habari wadau wa MMU. Hivi kuna mtu aliwahi kudate mwanaume wa kichaga akapata its fun being with them? Niko na huyu mwanaume 2years+ ila amepooza haswaaa, nothing about him is fun. Natafuta tu namana ya kumtoka maana sienjoy kuwa nae. Kabla yake niliwahi pia kuwa na mwanaume mmoja wa Old Moshi...www.jamiiforums.com
![]()
"Mwanaume hazeeki" - JamiiForums
Well huu ni msemo unaopenda sana kutumiwa na wanaume na baadhi ya wanawake. So let's keep records clear, huu msemo unatumika kwa wanaume kama Mengi, Mo Dewji, Bakhresa and the like. Nyie wenzangu na mie don't even think about that, mnazeeka my friends tena mnazeeka vibaya sana. Hivi huna hata...www.jamiiforums.com
Mtu akisoma nyuzi zako tu atajua ww ni mtu wa kuhangahika na wanaume.
Nyuzi ya kwanza ulidate na mtu miaka 6 nyuzi ya pili mwanaume wa kichaga sijui umedate nae miaka 2+
Unapoandika uzi humu ujue utabaki tu na watu watatumia kama reference siku ukiwehuka namna hii..
Hao wanaume wote waliokukaza miaka kibao hawakuwa wa JF sasa naona umehamishia matatizo yako humu kama hukubaliki huko barabarani ujue hata humu watu watakutomba na kuishiaView attachment 1185528