Wanaume wa JF mna shida gani?

Wanaume wa JF mna shida gani?

Kuitwa mwanaume tayari ni jukumu, hivyo tangu ukiwa mdogo unapaswa kukuzwa hivyo. Sasa kama mlipitia malezi mabovu kutoka kwa wazazi its about time dunia iwafunze.
nichomoe betri nisichomoe???????????????????!!!!!
car-battery-replacement-dunwoody-doraville-ga.jpg
 
Sawa,
Nimekuwa mfuatiliaji wa huu mtandao not so long, mwanzoni sikuweza kujiunga kwasababu sikujua namna ya kufanya hivyo. Baadae nikikutana na mtu ambae pia ni mtumiaji wa huu mtandao ndio akanipa ABC's za namna ya kujiunga.

Nilikuwa naiona kwenye suggestions ninapogoogle jambo, nikavutiwa nao sana. Ila nikajikuta nakuwa msomaji tu na nilitamani sana kuwa mmoja wa members humu. Hatimae nikafanikiwa.
Nilijiunga na nikaendelea kuwa msomaji tu hadi hapo nilipoamua kuwa mchangiaji pia. Ila nilivutiwa sana na jukwaa la MMU na CC.

Kwa muda wote nimekuwa nikishindwa kuwaelewa members wa kiume wa humu ndani. Ni wako na tatizo gani? Ni malezi mabovu,stress,kukata tamaa,elimu duni(nieleweke sio ya darasani tu) au tatizo ni nini haswa?

Wengi wao sio wastaarabu kabisa, mtu aweza kuleta mada yake badala wachangie kwa hoja wao ni matusi tu na hii ni hata jukwaa la siasa ambapo ningetegemea kuwakuta wenye weledi na hoja madhubuti kama ilivyo sifa ya mtandao huu(home of great thinkers)
Kuna siku nilileta uzi nikashambuliwa sana kwa matusi, nasikitika niliwajibu kulingana na level yao ya thinking ila i was not proud of it at all.

Hivi nyie binadamu wenye kuitwa wanaume haswa wa humu ni kwasababu gani hamna maadili na hamjielewi?
Hii inatupatia picha wazazi watarajiwa kuwa makini sana na watu tunaotaka wawe baba wa watoto wetu, hivi kama baba wa familia anakosa maadili na upeo namna hii ataiongoza vipi familia yake?

Kuna wakati nikiona mwanaume ana app ya jf kwa simu yake namtafakari sana, namchukulia kitofauti kidogo. Nashukuru mdogo wangu sio member humu.
Wapo wachache atlest ukisoma unafarijika kuona kuwa angalau bado tuna akina baba bora kwenye jamii zetu. Tambueni nyie ni wachache kwa idadi duniani, kwahiyo mnapaswa mjitafakari sana je mnastahili kuitwa wanaume au ni viumbe wenye uume tu?

Kuitwa mwanaume tayari ni jukumu, hivyo tangu ukiwa mdogo unapaswa kukuzwa hivyo. Sasa kama mlipitia malezi mabovu kutoka kwa wazazi its about time dunia iwafunze.
Acheni kujisifia mambo ya kipumbavu, mna jukumu kubwa sana hapa duniani, kumbukeni mlipoteleza kisha mchukue hatua.

Ipeni JF heshima yake kama ilivyo kauli mbiu yake.
Hongereni nyie wanawake
 
Respect is earned mtoa mada. Kuna wadada humu hata akipost ujinga, watu wanajibu vizuri tu. Ila kuna wengine kutwa kushambulia wanaume halafu unataka ujibiwe vizuri!
 
Oooh kumbe ninapaswa kuwasifia si ndio? Sisifiagi ujinga.

pokea simu yangu bas
 
Nichukue fursa hii kukupongeza kwanza kwa uchaguzi mzuri wa Avatar yako ina heshima hasa ile way
Pili nikupongeza kwa kueleweka kuwa wewe ni mama kijacho
Halafu unajua viumbe wenye Uume na wanaume
Hitimisho japo si mwisho pitapita hunu wapo utakao lea nao wanao
 
Kuna watu wanasikitisha sana... ila ndiyo inabidi uwazoee...

Sababu binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...

Cc: mahondaw
 
Uzuri ni kuwa hata ubadilike badilike vipi, basi uhalisia wako bado uko katika hizo id. Ukiona una tabia chafu chafu na unaigiza tabia njema basi tambua unatamani kuwa na tabia njema. Then acha kuigiza maana ukiigiigiza tabia fulani kwa muda mrefu inageuka kuwa tabia yako.
Lavu usiumize kichwa, Maisha bila vitu kama ivi yangekua hayana maana infact yangeboa sana.

Humu ndani hata akina Paskal mayala, huwa kuna wakat wanatoa lugha mbaya mbaya.

Umu ndani nikama kulivo uko nje, yaan nisawa nauko FB au IG ulikozoea .

Usiumize kichwa, usichukulie mambo serious sanaaaa.

You know what baby, ... Embu njoo Tuyajenge bana PM.

Achana na masuala ya humu, utaumiza kichwa, nje ya humu WE ARE VERY SMART KUANZIA KICHWAN NAMAISHA PIA.
 
Back
Top Bottom