ZeSonic
Member
- May 27, 2024
- 66
- 94
Sitaki Salam, naenda straight kwenye point.
Kwa wanawake wa kisasa, wengi wao wanabeba hizi sifa na zipo very common miongoni mwao.
Wana Mawenge (Delusional): Asilimia kubwa ya wanawake wa kisasa wana fikra au kuamini vitu ambavyo mtu timamu akiwatazama na kuwasikiliza lazima atachanganyikiwa. Imagine mtu ambaye hajui anachokitaka yet anaweka masharti.
Hawana shukurani: mwanamke wa kisasa kwa wastani ni wakosa shukurani. Unaweza mtendea wema mkubwa sana au kumfanyia jambo ambalo hata baba yake au kaka yake au hata mjomba hawawezi jitoa kwake kwa hilo jambo ila mwisho wa siku akakuonyesha kuwa ni ulitaka wewe yeye hakukulazimisha ungeweza acha.
Ubishi,kutokukubaliana na ukweli au kupingana na ukweli: unaweza kuta anabisha jambo ambalo madhara yake yapo wazi au kitu ambacho matokeo yake yanajulikana wazi ila yeye anataka kuamini kile anachohisi kwenye kichwa chake. Huu ni ugonjwa mbaya sana na unamchango mkubwa sana wa kudumaza mafanikio ya wanawake wengi wakisasa.
Kujikubali kulikopitiliza: wanawake wa sasa wana entitlement za kupuuzi sana na zimewadumaza sana akili zao kiasi cha kusababisha washindwe kuwa na uwezo wa kujua nini hasa wanastahili na nini hawastahili. Hii ni entitlement mentality na ni upuuzi kuwa na akili za namna hii.
Uchoyo na ubinafsi: akili ya mwanamke wa kisasa imelenga katika kujitazama yeye kama yeye na anachotaka. Hata watoto wao wa kuwazaa wanawaweka nyuma ya mahitaji yao. Hawana huruma na wanaume , jamii, ni wao kwanza kabla ya yote.
Badilikeni.