Wanaume wa JF mna shida gani?

Wanaume wa JF mna shida gani?

Kweli jukwaa la intelijensia kwa kiasi kikubwa kuna unafuu. Ila kwani siasa ni lazima matusi? Hatuwezi kufanya siasa safi zisizo na matusi na udhalilishaji wa utu wa watu ambao ni kaka,dada,mama,baba zetu pengine hata babu na bibi zetu?
Malcom X aliulizwa kuhusu suala la ubaguzi wa rangi unaosababisha kuchukiana(pamoja na kutoleana lugha chafu) na hata kuuana baina ya jamii ya watu weupe na weusi.

Alichojibu ni kwamba kwanza jamii inabidi wapatiwe elimu kwani ndiyo msingi wa kila kitu ili watambuane wote ni binadamu na wote wana haki sawa. Kisha itungwe sheria itakayolinda huo undugu.

Kwa swali ulilouliza ninachokiona ni kwamba serikali ililipokea hili suala kwa ghafla pasipo jamii kutanabaishwa siasa itakayokwenda nayo ni siasa ya namna gani.

Kwamba ni siasa ya kukosoana, siasa ya kushindana kwa hoja, ni siasa yenye kukubaliana kwa kukubaliana na ni siasa ya kukubaliana kwa kutokukubaliana ikijumuishwa pamoja na kutokuathiri tamaduni zetu za kuheshimiana. Ambazo hizi tamaduni ndizo zingelikuwa ni kama nguzo ambazo zinalinda utu na heshima ya mtu/watu kwa sababu jamii yetu ndivyo ilivyojengeka.

Kiini cha yote naona elimu! Bado jamii haina elimu ya siasa inayoishi nayo. Licha ya umri wa siasa ya vyama vingi bado ni mdogo (kwa hapa Tz) ila naamini jamii ikijengwa kwa msingi wa elimu(kwa huu muktadha tunaouzungumzia) inakuwa staarabu na shupavu. Na haya yote ya utovu wa nidhamu ya siasa lawama itarudi kwa serikali, kwa sababu serikali ndiyo inayounda jamii iwe ya namna gani.

Ndicho ninachokiona kwa jicho langu.
 
Brain washed.
Mi najua unatafuta ndoa hasa ule msitari wako ulioandika "wanaume mko wachache"
ninachokushauri usiwe jazba tuliza mpododo wanaume tupo na tutajiongeza tu.
 
Kupanga Ni Kuchagua
PM Nimeifungua Tafadhali Tuongee Kule
 
Hatuna shida yeyote we fuata kilichokuleta Jf, kama ulijiunga ili uwe unakosoa wanaume jitahidi dada mkuu ila elewa 99% jf life is fake that's why we are using fake ID's, hata wewe ni fake ndio maana unatumia fake ID.
 
Kwani umeshindwa kuchagua furushi lako ukaliweka sawa na kujitwika?
Unataka kukomaa na mafurushi yote?
Hahahaaaaa, hilo neno linanichekesha sana, eti mafurushi. Ni ushauri tu mpendwa, ni vyema msiwe mafurushi itapendeza zaidi.
 
Michango ya humu JF ukiichukulia siriaz basi wew ndo utakuwa na matatzo,jichunguze Dada yangu nahisi unastress za maisha.
Realy?
Sio kosa langu, ni kauli mbiu ya jf ndio ilinifanya nifikirie hivyo. Ila kwa majibu yenu haya basi nimepata majibu mapya kuhusiana na huu mtandao.
 
Watu wanatofaoutiana kifikira, kitabia, kimalezi, Unavyowaza wewe mwingine hawezi kuwaza kama wewe, bandiko lako limeangukia kwenye lawama na kashifa kwa Mwanaume unakosoa uumbaji' Huwezi kupanda dalala ukaanzisha mada watu wote ndani ya dalala wakuungee mkono, ilo ni hapana' unapoona tatizo eleza tatizo kisha toa shuluhisho ukitumia mwanya wa tatizo kuchapa watu utakuwa haukatatua tatizo, Kashifa weka pembeni, samehe waliokukwaza, Msamaha ni tiba, tambua binadamu hatufanani' Mwache mwanaume awe mwanaume' maana atabaki kuwa mwanaume tu'' Ni hayo tu hatufundishani maisha ni ujumbe tu.
 
Id is fake, ila watu ni halisi.
Hatuna shida yeyote we fuata kilichokuleta Jf, kama ulijiunga ili uwe unakosoa wanaume jitahidi dada mkuu ila elewa 99% jf life is fake that's why we are using fake ID's, hata wewe ni fake ndio maana unatumia fake ID.
 
Bado sijajua unachotaka kwa nini kwa wanaume wakati tupo wanaume na wavulana
 
Watu wanatofaoutiana kifikira, kitabia, kimalezi, Unavyowaza wewe mwingine hawezi kuwaza kama wewe, bandiko lako limeangukia kwenye lawama na kashifa kwa Mwanaume unakosoa uumbaji' Huwezi kupanda dalala ukaanzisha mada watu wote ndani ya dalala wakuungee mkono, ilo ni hapana' unapoona tatizo eleza tatizo kisha toa shuluhisho ukitumia mwanya wa tatizo kuchapa watu utakuwa haukatatua tatizo, Kashifa weka pembeni, samehe waliokukwaza, Msamaha ni tiba, tambua binadamu hatufanani' Mwache mwanaume awe mwanaume' maana atabaki kuwa mwanaume tu'' Ni hayo tu hatufundishani maisha ni ujumbe tu.
Rudia tena kusoma ukiwa nje ya box.

Hapo mwishoni nimewaza hivi hata hawa wanaoolewa na wanaume wenzao na anaobadili jinsia(trans gender) bado nao ni wanaume na wataendlea kuwa wanaume?
Anyway shukrani kwa mchango wako.
 
Back
Top Bottom