Brainwave
Member
- Aug 6, 2019
- 11
- 20
Hawa ndio waliambiwa ukijiunga JF unapata mume halaf mategemeo yakawa tofauti.



Hawa ndio waliambiwa ukijiunga JF unapata mume halaf mategemeo yakawa tofauti.



And this is exactky what i am talking about.ID fekero....avatar fekero kisha unaongelea matusi tena yanayotoka kwa wanaume kupitia media,we'ni kidenya sana.Kwanza go brush your teeth kisha urejee vema.Ni mimi mdogo wako Njokiledoni.
Kama nimekuelewa hiviUmejuaje hao wanaokudisappoint ni wanaume wakati wanatumia id fake?
BTW usione watu wanachangia kwa mizaha/matusi ukadhani ndio walivyo hivyo pia kwenye real life, noo. Sometimes wanafanya ivo kuchangamsha jukwaa tuu.
Mwenye tatizo ni ww unayedhani ndivyo walivyo hadi kwenye real life.

Hapa unaongelea mama, kweli hapo kwenye malezi inabidi tujitafakari kama jamii. Ila ukikua na kupevuka na kujisimamia ni vyema ukatambua njia sahihi ya kufuata(huko ndio kukua)Nadhani kila mwanaume aliekamilika idara zotee kuna mwanamke shupavu nyuma yakee
Nadhan sababu piaa ni aina ya wanawake walio nyuma yetuu
Jibu lako hilo hapo.Umejuaje hao wanaokudisappoint ni wanaume wakati wanatumia id fake?
BTW usione watu wanachangia kwa mizaha/matusi ukadhani ndio walivyo hivyo pia kwenye real life, noo. Sometimes wanafanya ivo kuchangamsha jukwaa tuu.
Mwenye tatizo ni ww unayedhani ndivyo walivyo hadi kwenye real life.
And this is exactky what i am talking about.
Id na avata zaweza kuwa fake lakini anayecomment ni binadamu sio kuku.
Mtu huwa halisi sana anapohisi hakuna anayemfahamu, utajiuliza what if alichoandika ni uongo? Then jibu ni ameandika fantancy ya vile anatamani kuwa(hii ni kwa wale wanaofake maisha mitandaoni) hivyo hiyo bado haiondoi uhalisia wake.
Kwanza ulitakiwa umpe pole mtoa mada kwa kuvunjwa her kevin hart.Comments ziwe fupifupi jamani, niko nawasubiri wanaume wa jf
Hili chujio litakuwa limetoboka maana linapitisha makapi zaidi.
Mkuu nakupongeza kwa uwezo mkubwa wa kuandika makala ndefu.
Lakini nasikitika tu kusema andiko lako limekaa kihisia zaidi na sio uhalisia.
Probably you are just relieving your stress. Let me not judge this deeply until u come up with crucial facts.
Umejuaje wachangiaji wa humu kuwa ni wanaume ?Nimekuwa mfuatiliaji wa huu mtandao not so long, mwanzoni sikuweza kujiunga kwasababu sikujua namna ya kufanya hivyo. Baadae nikikutana na mtu ambae pia ni mtumiaji wa huu mtandao ndio akanipa ABC's za namna ya kujiunga.
Nilikuwa naiona kwenye suggestions ninapogoogle jambo, nikavutiwa nao sana. Ila nikajikuta nakuwa msomaji tu na nilitamani sana kuwa mmoja wa members humu. Hatimae nikafanikiwa.
Nilijiunga na nikaendelea kuwa msomaji tu hadi hapo nilipoamua kuwa mchangiaji pia. Ila nilivutiwa sana na jukwaa la MMU na CC.
Kwa muda wote nimekuwa nikishindwa kuwaelewa members wa kiume wa humu ndani. Ni wako na tatizo gani? Ni malezi mabovu,stress,kukata tamaa,elimu duni(nieleweke sio ya darasani tu) au tatizo ni nini haswa?
Wengi wao sio wastaarabu kabisa, mtu aweza kuleta mada yake badala wachangie kwa hoja wao ni matusi tu na hii ni hata jukwaa la siasa ambapo ningetegemea kuwakuta wenye weledi na hoja madhubuti kama ilivyo sifa ya mtandao huu(home of great thinkers)
Kuna siku nilileta uzi nikashambuliwa sana kwa matusi, nasikitika niliwajibu kulingana na level yao ya thinking ila i was not proud of it at all.
Hivi nyie binadamu wenye kuitwa wanaume haswa wa humu ni kwasababu gani hamna maadili na hamjielewi?
Hii inatupatia picha wazazi watarajiwa kuwa makini sana na watu tunaotaka wawe baba wa watoto wetu, hivi kama baba wa familia anakosa maadili na upeo namna hii ataiongoza vipi familia yake?
Kuna wakati nikiona mwanaume ana app ya jf kwa simu yake namtafakari sana, namchukulia kitofauti kidogo. Nashukuru mdogo wangu sio member humu.
Wapo wachache atlest ukisoma unafarijika kuona kuwa angalau bado tuna akina baba bora kwenye jamii zetu. Tambueni nyie ni wachache kwa idadi duniani, kwahiyo mnapaswa mjitafakari sana je mnastahili kuitwa wanaume au ni viumbe wenye uume tu?
Kuitwa mwanaume tayari ni jukumu, hivyo tangu ukiwa mdogo unapaswa kukuzwa hivyo. Sasa kama mlipitia malezi mabovu kutoka kwa wazazi its about time dunia iwafunze.
Acheni kujisifia mambo ya kipumbavu, mna jukumu kubwa sana hapa duniani, kumbukeni mlipoteleza kisha mchukue hatua.
Ipeni JF heshima yake kama ilivyo kauli mbiu yake.
Nobody mkuu. Kwani umepatwa na nini ?And who is stressed here!