Chica Gee
JF-Expert Member
- Jul 13, 2021
- 3,372
- 9,489
😂😂😂hebu niache kwanza Lababamtoto ananyonya kidole atatuliaje Lamama
😂😂😂hebu niache kwanza Lababamtoto ananyonya kidole atatuliaje Lamama
aha vipi mamilo😂😂ananichekesha
PoleHakuna lolote wewe ..kawaingize mkenge wengine sio humu.
Test meHabari za muda huu
Yaani wanaume wa humu sijajua ni dharau,ni Malaya,au wapoje kwasababu,kila mtu anakuona kama Malaya tu,mara oooh unatangaza biashara.
Mara sijui nini,kutongoza kwenyewe hawajui,mtu badala akubembeleze analazimisha kama vile anakujua,
Wengine ni kutamka pesa zao wakidhani kila mtu anavutika na pesa.
Jifunzeni kutongoza na kujieleza vizuri siyo kila mtu anapenda pesa.
Pesa tunapenda ndiyo lakini siyo za kuhongwa ndiyo maana tunafanya kazi.badilikeni
Safi tu vipi wewe?aha vipi mamilo
Poa sana LamamSafi tu vipi wewe?
Ni vizuri kama uko powaPoa sana Lamam
Nauli Tu ausioUnampaje 40 k huoni hivyo vidole alivyopaka mkorogo.. huyo wa buku tatu mfuko wa shati
Jibu unalo kichwaniKwahyo mkuu tukikubembeleza utakubali?
Hapana Sina.Jibu unalo kichwani
Njoo unipe kampani hapa kwa jirani😂😂ananichekesha
Vidume wengi humu cha msingi ni nauli kutokutumwa hata kama ni 500 ya daladala.Hakuna aliejitokeza kwenye mtoko wako ili atekwe?
Ni kima tu ambaye atakubali kuingizwa kingi kindezi hivi...kisa tamaa ya ****.
Kwani hapa ni kwakoTuheshimiane dada,utahama humu JF sio muda