Marry Diana
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,418
- 4,113
- Thread starter
- #141
Asantee nipeupenda❤️❤️Wimbo wa zamani kidogo ila unatufaa sana enzi yetu.
Embu usikilize vizuri mleta mada , hutakosa mawili matatu.View attachment 3359833
Asantee nipeupenda❤️❤️Wimbo wa zamani kidogo ila unatufaa sana enzi yetu.
Embu usikilize vizuri mleta mada , hutakosa mawili matatu.View attachment 3359833
Na mdomo wako huo kama kinyeo cha kukuKwani hapa ni kwako
Jiheshimu utaheshimiwaNa mdomo wako huo kama kinyeo cha kuku
😀😀 Naunga mkono hoja 😃We weka dau lako acha mboyoyo mingi
Tunasemaje NoreformsNoelectionHata kama, kutongoza hamjui,
Kubembeleza hamjui ,
Kwa mtindo huo akukubalie nan
Hahahahaha,hili ndilo la msingi,kasahauWe weka dau lako acha mboyoyo mingi
HahahahahaDharau nazokataa ndiyo hizi
Pole sanaTunasemaje NoreformsNoelection
Kizuri chajiuza kibaya chajitemebeza
Punguza Kiki na show off za kitoto, utapigwa matukio mpaka uwaite Wanaume wa JF ni Mbwa
KwakweliJf ni nzito sana binti wangu
Niadje kakaOyaa
Aaaaah Kipepe,40k nyingi mno,huyo saizi yake 10kView attachment 3359800
KAMA KWELI HII PICHA NI YAKO 100K NLOKWAMBIA HAPANA, KULA 40K MAMTU
fresh,inakuajeNiadje kaka
Ni gud mzee wa chai😂, mamb yanaendaje?fresh,inakuaje
AusioAaaaah Kipepe,40k nyingi mno,huyo saizi yake 10k
Hahaha yako kasi sana,Ni gud mzee wa chai😂, mamb yanaendaje?
🙄🙄Njoo unipe kampani hapa kwa jirani
Mdudu?? Dah umenichoka silagi dhambiNimemwambia bodaboda akuletee mdudu kilo 2, ndizi 5 na kachumbari. Vipi amefika?